dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
noted.! well put bruh....Oh. Sawa. Naona Kericho nayo imeanza kuamka sio mchezo. Huwa nikienda Kisumu napitia Kericho na huwa nacheki developments za Kericho na for sure inagrow sana. Though sijafika hizo sides since 2015. Hio ni poa. As for Geza Ulole wachana na yeye tu, usichukulie kitu yoyote anayosema serious. Unaweza kum-ignore tu. Mnaeza elewana baadaye. Coz you are a good guy, utapata respect huku. Don't go out of character. Just maintain your good nature regardless of the insults and you will receive a lot of new friends here. Also don't take everything said here seriously. People just come here to remove stress or to entertain themselves after a hard day's work or during a boring office session, people just log in to entertain themselves. But I can tell that you are a good-natured, respectable guy and don't worry about anything a stranger says about you or your community. Some people here are just trolls and when you show them that you are angry then they will just add fuel to the fire, so just ignore them. There is one of them I have completely blocked for almost two years now coz the guy is just too low IQ for me to deal with. You can block someone by clicking on their name then clicking the "ignore" button. That button can sometimes make your life so much easier in this place.
Ninyi mnaokufa njaa in hundreds mnatushauri tutie bidii? 🙄Hii ndo effect ya bad education system hehe! Sasa mnaamini eti world bank inawaonea 😂😂😂😂 kwani Tanzania haijui how to calculate GDP???? The information is in public domain punguza ushamba kidogo be exposed Na mtie bidii moandishe GDP
Dada maisha ya Bongo yamemfurahisha harudi tena GhanaKenya hata maji ya kunywa ya dukani ni anasa kama ghana na nigeria chiki huyu mdada wa ghana
Huyu mdada kachachuka na bongo hatari, ni kweli kwenye point ya battled water, kunyaland mtu akinunua maji ya chupa hanywi yakaisha, lazima abakishe nusu azunguke nayo siku nzima wajue kanywa maji ya dukani 😅😅😅Kenya hata maji ya kunywa ya dukani ni anasa kama ghana na nigeria chiki huyu mdada wa ghana
We mzee sometimes huwe unafanya research ya hata kidogo before Ku comment utumbo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mikunya haijui chakula mkuuKfc awezi toboa hapa👇 kwa mtindo huu atasanda mwenyewe View attachment 2194905View attachment 2194909View attachment 2194910
hehehe.... "watanganyika watauliwa ili wakufe".. 😆😆
Kaka usitishike, wala hakuna ujiko wowote kuwa na hayo maofisi ya kigeni nchini. Juzi mwenzetu Masoud amezindua gari la kutatua matatizo ya mwananchi, badala ya serikali kumtia moyo, viongozi wa kuu hata hawakuwepo. Tunakaa kushabikia vya watu wakati vyetu tunavikaushia.Labda mie mshamba em naombeni faida za izo ofisi kua kenya znazo mgusa commonmwananchi
Hamna chochote mtanzania atashangaa Kenya na ndio maana Tanzania ni kama ulaya kwenu, kila mkunya anataka kuja Tanzania kutembea, sio mkunya tu ni kila muafrika, fuatilia vizuri saga la zanzibar ujifunze kituTembea Kenya uache kulishwa propaganda ya Siisiiemu.
Nyie ndo huwa amfi vitani?
😀Huyu mdada kachachuka na bongo hatari, ni kweli kwenye point ya battled water, kunyaland mtu akinunua maji ya chupa hanywi yakaisha, lazima abakishe nusu azunguke nayo siku nzima wajue kanywa maji ya dukani 😅😅😅
Wakati Tanzania maji ya dukani hata chokoraa ananunua kwa siku hata Lita 10
Kenya maji ni anasaHuyu mdada kachachuka na bongo hatari, ni kweli kwenye point ya battled water, kunyaland mtu akinunua maji ya chupa hanywi yakaisha, lazima abakishe nusu azunguke nayo siku nzima wajue kanywa maji ya dukani 😅😅😅
Wakati Tanzania maji ya dukani hata chokoraa ananunua kwa siku hata Lita 10
Amazon wataajiri wakenya wangapi wewe?exposure, employment and what have you...
wote tnajua ugumu wa kuajiriwa kwe hayo makampuni makubwa ya technology swali ni je wakunya wangapi wataajiriwa kiasi cha kuleta +impact kwe jamii?Kwanza Kuna employment opportunities Kwa locals. Pili, kuna tax revenues ambazo zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. But Kenya is very corrupt so, I don’t think their government is doing a great job at this. Third, these companies offer an opportunity for locals to build a wide variety of skill set. Kwa hiyo hii ina contribute toward human capital development. Fourth, the products/services offered by these companies can benefit their citizens. Fifth, new companies provide room for competition. Na pia hizi kampuni huwa zina corporate social responsibility…Kwa hiyo wanaweza kunufaisha jamii kwenye mambo mbalimbali. In a nutshell, there are lots of benefits!
kumbe wewe ndio unatuletea omba omba ama watu fukara wanaishi slums, they give u a skewed perspective based on their own poverty, eti experience, an outright lie, nyambaff 😂 😂 😂 😂Ulivyofanya ni kujaza emoj nyingi za kucheka Cheka,sijaona umejibu point yoyote hapo
I'm speaking from experience,Nina ndugu na marafiki Kenya ingawa wamepungua sn baada ya wimbo la Corona.. wengi wamefariki😭
Hakuna mtu anapinga yote haya, Je faida zake utalinganisha na uwekezaji unaofanywa na makampuni ya madini Tanzania?, Kwa mfano mradi wa 'Kabanga Nickel' pekee huko Kigoma utalipa Kodi kubwa, utatoa ajiri nyingi kwa watanzania tena wale wa kawaida huko mikoani kuliko hizo ofisi zote kwa pamoja.Kwanza Kuna employment opportunities Kwa locals. Pili, kuna tax revenues ambazo zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. But Kenya is very corrupt so, I don’t think their government is doing a great job at this. Third, these companies offer an opportunity for locals to build a wide variety of skill set. Kwa hiyo hii ina contribute toward human capital development. Fourth, the products/services offered by these companies can benefit their citizens. Fifth, new companies provide room for competition. Na pia hizi kampuni huwa zina corporate social responsibility…Kwa hiyo wanaweza kunufaisha jamii kwenye mambo mbalimbali. In a nutshell, there are lots of benefits!
Kwahiyo hata huyo dada ni CCM?, Wakenya wanaokufa kwa njaa ni uongo?Tembea Kenya uache kulishwa propaganda ya Siisiiemu.
Mkuu msikilize Masoud Kipanya mwenyewe anasemwa alikuwa anawasiliana na waziri husika na alikua afike, lakini siku Moja kabla ratiba yake ilibadilika akatuma wawakilishi wakeKaka usitishike, wala hakuna ujiko wowote kuwa na hayo maofisi ya kigeni nchini. Juzi mwenzetu Masoud amezindua gari la kutatua matatizo ya mwananchi, badala ya serikali kumtia moyo, viongozi wa kuu hata hawakuwepo. Tunakaa kushabikia vya watu wakati vyetu tunavikaushia.