Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mangeuz wengi wa TZ\Sio wote,ni washamba alafu ni malazy ass sana wanalalishaga kama kuku wanataga mayai😂alafu wanapenda kuwekwa SIM2! Ni kama wanalipishaga kwa wanaume wao ambao waliamua kuuza SIM2 zao pia😢wat a shame!!!!
Mabooty wa TZ wanajulikana kila kona na wanapendagwa na wazungu sana💩lakini bado nampenda Nandi😎😜maajabu au sio??😂
 


Uko na uchungu boss, I pray you heal.🤣🤣
 
👆👆Jamaa limeumwaa hadi basi😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha kudanganya wenzako wewe mwehu 🤣 😂 😂 😂 😂 😂 ., nimekua nchi flani where kuna Wakenya, Waganda na ata Rwandese with few Somalis and South Sudanese kwa pamoja! Tanzanians are perpetually inferior, waoga waoga tu, mko na low self esteem mbele ya wakenya, sijui ni kwa nini mnajibebaga hivyo, ata ukiandika insha hautabadilisha ukweli, waganda are proud and outgoing, wamejikubali na kujipenda walivyo, wako better than u guys socially, usijidanganye, nawajua vizuri sana😂😂😂. Unaumwa kweli, na ni wivu na chuki inakuongoza, ukiongeza blind patriotism wala sio ukweli.., wageni watakuambia tofauti kati ya Kenya pamoja na Wakenya, na Tz na raiya wake, facts are screaming wacha uongo,ni uchungu lakini vumilia, ungefyata tu na uendelee kupita kimya kimya., ila naona umeumia sana., hadi raha 🤣😂😂😂😂😂😂
 
Uko na uchungu boss, I pray you heal.🤣🤣
Yaani ameumia anandika uongo live, angetafuta reason ingine, hii yake iko too obvious ni porojo, watanzania wakifika Kenya wengi wanakuaga wamehaha hivi, waoga waoga na kushangaa, picha mwafaka ni baba Levo🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Mimi nimeona haina haja nimjibu. Afe na uchungu wake.🤣🤣🤣
 

Umemaliza bro. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkunya ni ujuaji, njaa, ushamba, ukondoo na shobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…