Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The good thing muonekano wa Kenya umeshinda wa Tanzania by far[emoji23][emoji23][emoji1787]. Try to imagine this is the biggest city in Tanzania and the best place of the entire city [emoji23][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2193883
Is no longer South Africa?, that shows are stupid you are[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona hii battle irudi tu between Dar Vs Nai..Hii kuchongoana venye mtu amevaa ,mara kazi ,tuachane nazo...Tuheshimu kazi za watu...kwa sababu that is what they do to support there life and family...Ikiendelea hivi sasa tunakaa kama watoto ilhali sisi ni watu wazima
 
Tulia kwanza nimalize kilio cha mkunya mwenzio, jana kapata kipigo anataka kulazimisha kitu ili ajifariji, tukija kwenye muonekano Wakenya mna muonekano mbaya wenye kukera, ona huyu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehe wewe unaona kiatu Mimi naona mwili. Jamaa kamekonda kinoma[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kichwa kdg kama cha nyoka alafu anaongopa ongopa eti kamesomea udaktari, ss udaktari huo kwa kichwa kdg hivi na tumasikio tumemtoka [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 



[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] godown worker
Hiyo picha muitunze sehemu nzuri ili dada zenu wasiione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua tofauti ya GDP ya $345B na $110B kweli?.., ofcourse kuna tofauti, wewe ungetofautisha pato la viwanda ya SA vs pato la Viwanda ya Kenya, Kilimo, Transport etc.., lazima kuna tofauti ndio maana GDP yao ni $345B na Kenya ni around $110B.., so ni jambo gani unatafuta? ama ulitamani aseme zinalingana ndio upate ya kuandika? hapa ni wivu inakusumbia mzee, hauna lolote la maana zaidi ya wivu na chuki ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Kenya muonekano wa hiyo GDP upo sawa vis a vis population, kuna many factors that can prove it, despite the negatives, ni wewe na inferiority complex yenu mnatafuta tu mapungufu ili kujiliwaza kwa vile mko hovyo kwa hali na mali, muonekano wa Dar, the seat of your economy, outside CBD area kwa upana na ukubwa ni picha ya ufukara na underdevelopment.., na hiyo ndio uso wa taifa๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ