Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


1.toa hii ....hili muwe mnaliita daraja


2.nayo hii toa haina tija ya kusolve foleni muwe mnaliita daraja


3.hii nayo ni shida yaani mbwembwe muwd mnaliita daraja


4.mantiki ya hii mbwembwe ni marudio nayo haina tija itoe


5.hii nayo toa haieleweki ni kipisi cha daraja


6.hii pia ni mbwembwe tu isiyosaidia taifa lenu


7.huu nao ni upuuzi mnapigwa pesa kizembe na government yenu


8.hiyo nayo ni chafu sana connector bridge ambayo haina msingi kwenye jiji

NOTE😛oleni sana Wakenya yaani kama style yenyewe ni hii endeleeni na upuuzi wsnu wakutengeneza viconnector bridge kwa kuita fly over kwa sababu ya hii maana[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]




Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji12] [emoji1] hakuna aliyesema za kushangaza hebu njoo na majina yake siyo picha tu maana unakuja na different angle kwa baadhi ya picha hafu zingine zitoe maana ni vituko.....njoo na majina nikuchambue vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahaha hapo sasa utajipanga, am a bit busy at the moment. Nikiwa free majina ntakupa. Pia wewe unweza post zenu sasa
 
Hhahaha hapo sasa utajipanga, am a bit busy at the moment. Nikiwa free majina ntakupa. Pia wewe unweza post zenu sasa
hama cha maana mliyonayo ni moja tu tena . inezidiwa viwango na hii yetu tunayoimalizia...hafu unarudia rudia picha kwa angle tofauti ...sisi hizo short connector bridge hazina tija kwetu ....kwani tiyari BRT ishaclose border

kinachofanyika tunatengeneza fly over yenye urefu thabiti na si vipisi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ojey you will play a game of musical chairs with that chokoraa for eternity....he has bad luck in comprehending simple stuff

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna alichokifanya cha maana hapo mna flyover moja tu angalau inaonekana powa vingine ni vituko ambavyo havina tija mnaweka vipisi pasipo na tija.....

Flyover iliyopo ubungo ni fly over ambayo kenya nzima haukuti kitu kama Tazara maridadi kabisa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAIROBI NI CITY YA MANANDA YA KUFUGIA NDEGE NJIWA..

Hii nini sasa
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…