Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni kiwanja kubwa na ghorofa tano kando ya barabara. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Majuzi mlisema nyuma ya hayo majengo ni slum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo naona ume zoom[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kweli naona kumejaa slum tu dar es slum[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wamejishtukia kupost express way, wakaja na mada ya masoko tukawakumbusha kuwa tulishamaliza. Now wamekuja na magari wakisahau kuwa tushamaliza.

Bila shaka wale nzige wajjichanganya nao now wamekua wote vichwa vya panzi
Maneno ya kanga kama kawaida, yenu hua maneneo tupu. Hizi zingine hapa. 🤣 🤣 🤣 🤣






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…