As if nairobi yote iko planned lol...dar siku itapata planned estates warudi hapa ndio waongee tukitaka aerial view za estates watanzania hukasirika sana juu machangudoa ndio zimejaza entire city. ...Hahaha.
Porojo hizoDaresalaam is unplanned....
Hata mpige kelele aje. Lakini wazungu kuiita "fishing village " hawakuwafanyia poa bana.....Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mombasa southern bypass is under construction. It will contain two bridges, Mwache and Mteza.Alfu mm nashangaa Kila nchi ina priorities zake ..Tz imeamua kujenga Flyover 2017 ..sio kwamba ilishindwa miaka ya zaman..bali haikuwa priority miaka hiyo ...
Ni kama nyie mnavyohisi Kupata jengo refu its an issue ..yes for beautification its an issue ..but cio Kwamba Tz inashndwa Kujenga 70flr kama pinnacle ..the issue is just we dont need it and its not a priority ..a country should rather have a hospital or those developers should think of building a school,a hospital .public transit ,an energy station for both rich n poor to benefit rather thn a certain class..remind you PSPF ni twin *35 ..na kabla ya hapo walitaka wajenge one tower ya 70flr..wakabadilisha plans .so as to save money to other public projects ..kama kujenga kiwanda cha sukari ..so its just priorities za nchi ..
Mbona europe hamna jengo la zaidi ya 310m ..does tht make european countries poor ?
By the ....Kenya ni kweli mmeshndwa kujenga daraja kule mombasa ..au the country imeset tu priorities ijenge southern by pass kwanza Nairobi?..i think no its just decision za Government ya Kenya zimekaa kibepari zaidi na kubenefit watu wa class ya juu zaid kuliko ya chini
Keep praying harder,but know that this is the real deal....CEMENTED!What if they change mind and decide the hole to be used as fishing pond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I am thinking loudly
Sent using Jamii Forums mobile app
siniliwaambia kashawafunga kamba tayari😀😀😀😀😀
hafu wasijutishe hao kwa upande wa fly over wakenya hazizidi mbili vingine vyote ni viinterchange juu wamepitisha vidaraja vipisi vya hatua kumi hafu wanaviita flyoveAlfu mm nashangaa Kila nchi ina priorities zake ..Tz imeamua kujenga Flyover 2017 ..sio kwamba ilishindwa miaka ya zaman..bali haikuwa priority miaka hiyo ...
Ni kama nyie mnavyohisi Kupata jengo refu its an issue ..yes for beautification its an issue ..but cio Kwamba Tz inashndwa Kujenga 70flr kama pinnacle ..the issue is just we dont need it and its not a priority ..a country should rather have a hospital or those developers should think of building a school,a hospital .public transit ,an energy station for both rich n poor to benefit rather thn a certain class..remind you PSPF ni twin *35 ..na kabla ya hapo walitaka wajenge one tower ya 70flr..wakabadilisha plans .so as to save money to other public projects ..kama kujenga kiwanda cha sukari ..so its just priorities za nchi ..
Mbona europe hamna jengo la zaidi ya 310m ..does tht make european countries poor ?
By the ....Kenya ni kweli mmeshndwa kujenga daraja kule mombasa ..au the country imeset tu priorities ijenge southern by pass kwanza Nairobi?..i think no its just decision za Government ya Kenya zimekaa kibepari zaidi na kubenefit watu wa class ya juu zaid kuliko ya chini
my friend to refurbish is not to design...tofautisha mambo mawili hapoTPA, Tanzania Parliament, Mwanza Market ETC all the good things you see in Tanzania were designed in Kenya. Including the 40 story Mzizima Towers
Check out this
K&M Archplans - Architects & Town Planners
hakuna anayekasirika hivyo vitu vipo......hatuna shida ya mapicha ya hostel zenu huku kila mtu ananyumba yake ya kisasa zenye viwango....na ukija kwenye mtindo wa nyumba mfumo wa hostel pia zipo kila siku zinajengwa na miradi inaendelea hivyo sisi siyo level yenu mpo nyuma sana ....sisi tunajenga kwa kidouble kwa upande wa makazi nyie mmeganda na hostel tu tena zilizo chakavu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]dar siku itapata planned estates warudi hapa ndio waongee tukitaka aerial view za estates watanzania hukasirika sana juu machangudoa ndio zimejaza entire city. ...Hahaha.
unajifurahisha.....Daresalaam is unplanned....
Hata mpige kelele aje. Lakini wazungu kuiita "fishing village " hawakuwafanyia poa bana.....Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app