COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Elewa flyover ni nini ndio ubishane..naujue Nairobi ni over 30COLLO umezingua....hapo kwenye picha zako nimeiona fly over moja tu tena nawasiwasi nayo nahata bado hsijazinduliwa
na kingine acha utoto hiyo point yako ya meaning of fly over ni lugha nyepesi sana isiyo na mashiko yaani serikal yenu ya kenya na raia wake wote ni vituko mnachimbs mashimo nakupitisha kidaraja hatua 10hafu mnaiita fly over kisa kipisi kimepita juu[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]
lete fly over nyingine na endelea kutufundisha teacher
Sent using Jamii Forums mobile app
usianze kutafuta visingizio baadaye mkaanza oooh tumechimba sana kuelekea chini hivyo ghotofa ina floor100......WAkati hiko kipimo mlichochimba hata kwa muonekano ni normal kama ghorofa ya floor 28The whole of that Mzizima Tower is equivalent to the basement floors of Pinnacle.
unajihaibisha mkubwa hii nini sasa yaan sababu ya kiconnector cha hatua kumi ndiyo uite fly overElewa flyover ni nini ndio ubishane..naujue Nairobi ni over 30
sent from iPhone 7
usianze kutafuta visingizio baadaye mkaanza oooh tumechimba sana kuelekea chini hivyo ghotofa ina floor100......WAkati hiko kipimo mlichochimba hata kwa muonekano ni normal kama ghorofa ya floor 28
Sent using Jamii Forums mobile app
or the largest swimming in east and central africaWhat if they change mind and decide the hole to be used as fishing pond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I am thinking loudly
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀😀😀 mbona unalia sana wanjala
Niletee evidence kua ilichorwa na mkenya??
😛😛😛😛😛😛😛😛
hamna kitu siku zote kizuri chajiuza ......kibaya chajitembeza....in africa kenya ni kibaya tu so lazima kijitembeze.......ili kipate ni sawasawa na changudoa......kenya ni changudoa wa east africa,africa mpaka dunia....If you want to know Kenya is influential:
This is a mapping of [HASHTAG]#Sidebar[/HASHTAG], a program that was started in Kenya by Larry Madowo on NTV yesterday and by today, one day down, it had hit 35 countries and 105 cities.
Check it out!!
ndiyo vizuri....kiukweli kama hiyo ghorofa itasimama ....mshukuru ila itachukua miaka mingi sana kuisha.....angalieni isijefikia uhuru kamaliza madaraka lakini likawabado ...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Una uhaba wa kimawazo na unajiabisha!!
hamna kitu siku zote kizuri chajiuza ......kibaya chajitembeza....in africa kenya ni kibaya tu so lazima kijitembeze.......ili kipate ni sawasawa na changudoa......kenya ni changudoa wa east africa,africa mpaka dunia....
hamna jipya
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona umesahau hadi .....national stadium,na cable bridge zimeundwa na wakenya wanaitwa omondi ukemi na nyambui wanjala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ulitaka evidence, mbona unalialia tena? Huamini kama vitu vyote hivyo vimeundwa na wakenya?
PSPF, Parliament etc.....😱😱😀😀😀😀😀😳😳
Ulitaka evidence, mbona unalialia tena? Huamini kama vitu vyote hivyo vimeundwa na wakenya?
PSPF, Parliament etc.....😱😱😀😀😀😀😀😳😳
Miji yote hiyo ina large water bodies (lakes, rivers or sea)London,Beijing,Madrid,Lisbon,Moscow,Delhi,Berlin,Paris haziko kwa oceons...so dar ni better than those cities
sent from iPhone 7
kenya nchi ya kitu kidogo -corruption. hawawez kujenga daraja pale mombasa because they are making money from those ferriesAlfu mm nashangaa Kila nchi ina priorities zake ..Tz imeamua kujenga Flyover 2017 ..sio kwamba ilishindwa miaka ya zaman..bali haikuwa priority miaka hiyo ...
Ni kama nyie mnavyohisi Kupata jengo refu its an issue ..yes for beautification its an issue ..but cio Kwamba Tz inashndwa Kujenga 70flr kama pinnacle ..the issue is just we dont need it and its not a priority ..a country should rather have a hospital or those developers should think of building a school,a hospital .public transit ,an energy station for both rich n poor to benefit rather thn a certain class..remind you PSPF ni twin *35 ..na kabla ya hapo walitaka wajenge one tower ya 70flr..wakabadilisha plans .so as to save money to other public projects ..kama kujenga kiwanda cha sukari ..so its just priorities za nchi ..
Mbona europe hamna jengo la zaidi ya 310m ..does tht make european countries poor ?
By the ....Kenya ni kweli mmeshndwa kujenga daraja kule mombasa ..au the country imeset tu priorities ijenge southern by pass kwanza Nairobi?..i think no its just decision za Government ya Kenya zimekaa kibepari zaidi na kubenefit watu wa class ya juu zaid kuliko ya chini