by making loss and giving loans to kq each after two months 🤣🤣🤣 miaka 50 munamiliki ndege tatu chaku boeing 737GOK has shares in KQ and it's her responsibility to make sure the airline is running.
hii picha hawaipendi kabisa utafanya watapike usiku mzima 😂😂😂😂Ladies and Gentlemen, Nairobi...
View attachment 2189043
Na nlisave kwa makusudi ili wakileta ununda naitupia 😀hii picha hawaipendi kabisa utafanya watapike usiku mzima 😂😂😂😂
Sasa Kama ni "Privately owned" na haziwasaidii wakenya wa kawaida, kwanini mnataka na sisi tujenge vitu ambavyo haviwasaidii wananchi wanaoteseka na shida mbalimbali?Jifunze kufuatilia mada wewe bwege. Kilaza mwenzako alisema eti we are building quality supermarkets while the number of Kenyans dying from hunger is increasing ndio nikamjibu kwamba hizo supermarkets anataja are private investments and have nothing to do with government projects/mitigative measures on hunger. Sasa wewe ulivyo kilaza zaidi ya yule kilaza wa kwanza unakuja kutoa povu.
Kwa hizo supermarkets tunazojenga hebu nitajie ya mzungu, mwarabu ama muhindi. Ama unafikiri Kenya ni kama kwenu ambapo kila kitu kinamilikiwa na warabu au wahindi?
Kenya is our baby, without feeding you, you will starve to death[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Without Kenya, there's no Tanzania [emoji23][emoji23][emoji1787]
You used to have branches in Tanzania like uchumi supermarket and Nakumat.
Niliwahi kuwa employee wa Uchumi ila mlifilisika 2016 kwa sababu ya ufisadi na sio operational environs..Wakenya nyie ni wezi balaa.
Equity Company as whole you mean ?...Now combine the profits of all those banks alafu ulinganishe na Equity [emoji23][emoji23][emoji23]
Stanchart ni 4th profitable bank in Tz in 2021..sasa maamuzi ya ku reduce number zake za bank sio Tz tu ni 11 countries anaondoka permanent na Tz na another african countries wana reduce the number of services lu focus kwenye coperate banking..au wewe ulihisi ana exit kabisa?Kwa hivyo StanChart is only facing competition in Tanzania where the first five leading banks can't even match equity bank or KCB bank in anything? Why aren't they facing the same competition in Kenya where locals banks outperform Tanzanian leading banks in almost everything? Ama hii competition ni imaginary tu kwa akili yako?
Wakenya wachache sana wanajua maana ya Post Panamax ..alfu watakwambia Port ya Dar haina berth ya 300 m ++roro ndio mwiba wa mombasa port[emoji1787][emoji1787]
Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?Hizo profits za ten leading banks in Tanzania can't even match equity alone
na kwa tanzania wamefeli bro yani kapambana wee lakini kagonga ukuta 😂😂Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?
Kuhusu uwezo wa bank zetu kujitanua kama Equity kwenda nchi myingne..its our problem..but no any kenyan bank that leads in Tanzania.
Sasa tukiwa aggresive enough kujitanua tutakutana huko mbele
I know equity is a big bank ..but outside Tz
na mfano mzuri sana nimempa 🤣🤣👇Wakenya wachache sana wanajua maana ya Post Panamax ..alfu watakwambia Port ya Dar haina berth ya 300 m ++
someni kwanzaa manaa ya post panamax
nilikua nataka kumpa taarifa Teargas
hii ni roro area ndani ya bandari ya dar
angali urefu wa hio roro kuna meli mbili kubwa za magari zimeshuhsa kwa wakat mmoja na hzo meli zote mbili zina urefu wa takriaban 200m na juu hapo angalia nafasi kubwa iliobaki sasa ndio utajua roro bearth alone inaeza kua na urefu wa 450m 🤣👇👇
View attachment 2189097View attachment 2189098
na juu ya hapo nikwambia tu kua kutoka tarehe 5 mpaka tarehe 8 tanzania imepokea meli tatu za magari zilishusha jumla ya magari 8,488 in just 3 to 4 days Tony254
Bank za TZ zinatumia technology nyingi za hali ya juu. Mkenya angefanikiwa kutumia account ya NMB au CRDB ndio atawezaelewa. Bank kubwa za TZ zinashindana kwa innovations kila mwaka. Na kikubwa ambacho kitawawia vigumu mpaka mwisho wa dunia ni corporate services na integrations zake haswahaswa academic institutions. So, acha waendelee kuota.Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?
Kuhusu uwezo wa bank zetu kujitanua kama Equity kwenda nchi myingne..its our problem..but no any kenyan bank that leads in Tanzania.
Sasa tukiwa aggresive enough kujitanua tutakutana huko mbele
I know equity is a big bank ..but outside Tz
Banks za kenya zinaweza kuperform kwenye nchi zilizonyuma kitechnologia tu na si vingine 😀na kwa tanzania wamefeli bro yani kapambana wee lakini kagonga ukuta 😂😂
Tena ka dola $4m. Sijui tuwachangie tu sisi wana JF! Au mnasemaje? [emoji23][emoji23]Wazee wa GDP inakuaje tena mpo kwenye list kusaidiwa pamoja na Somalia. Au hii GDP ni kiratasi mnazotumia kwenye flying toilet
Hawezi Brona kwa tanzania wamefeli bro yani kapambana wee lakini kagonga ukuta [emoji23][emoji23]
Kazi za kuuza supermarket hakuhitaji vyeti vyovyote zaidi ya basic education ya form 4...Kuna siku ulijisifu humu hadi ukataka tuoneshane vyeti vya shule vya science.
But if you are an employees of a store atleast we know your level. [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy Easter.