Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio munaita density. Ghorofa tano kando ya barabara. 🀣 🀣 🀣 Dar hata muitafutie angle ngapi za picha kiwanja haifichiki.
Hata mimi naona gorofa tano kando ya barabara, umeridhika.?
 
Ghorofa zinafwata lami ju hakuna barabara ingine lami ya kufwatwa. 🀣 🀣 🀣 Poor planning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…