Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another one bites the dust after jumia and standard chartered. Economy ya kadogo hawako tech savvy ndio maana hawana malls mingi and can not shop online. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bado wanaishii stoneage.

Hatufi njaa na hatukai kwenye slums.
 
Kenyan engineers have also been allowed to come and work in Tanzania, expect more buildings and infrastructures in Tz to be designed Kenyan. I'm also seeing most tenders in Tz being handled by Kenyans companies[emoji23][emoji23]

No one wants crushing buildings in Tanzania.
 
Nilikuwa napoteza muda wangu kukujibu tu. Sasa wewe umenizidi kwenye mambo ya uchumi na biashara. Pia naona unajua mengi kuhusu Al shabab kunishinda. Mahali mimi na wewe tumefikishana ukizingatia kilichofanyika jumapili iliopita sasa nimeamini kwamba mimi na wewe hatuwezi kuzungumza kiungwana tu. Nadhani tumekoseana heshima sana. Kwa hivyo mimi sitajibu message zako tena. Wewe unajua kila kitu na mimi hakuna ninachojua sasa wacha ibaki hivyo.
Jukwaa hili limejaa watu wanaosuffer from Dunning Kruger effect.
 
Mimi nashangaa kwa nini wafuasi wa Magufuli wanamchukia Samia na unaona kazi nzuri aliyofanya ya kuleta investors Tanzania.
Sababu zipo,,moja haamini kwenye ideology zao za *******,yeye anaamini kwenye nadharia za kiliberali zaidi na ni product ya JK wanaemuona ni adui yao.

Mbili,wanahisi alimsinitch Mwendazake which is wrong bali kibuli chake kilimla,

3.Ni kuhofia kufunikwa kwa legacy,

4.Hii sababu namba 4 inawahusu watu wengi hapa Tzn,hawakuwa tayari kwa Rais mwanamke kutokana na mfumo dume na mbaya zaidi ni Mzanzibar...

Otherwise tukija kwenye utendaji hadi sasa kawafunika wengi Sana yaani hakuna metric hata moja ya uchumi au huduma ambayo Samia kafeli,haipo..

Saizi wanajifichia kwenye kichaka cha maisha kupanda bei licha ya kwamba sababu wanazijua na Serikali inajitahidi kupunguza makali ila hawataki kuelewa kwa sababu za Chuki binafsi..
 
UK banking multinational Standard Chartered Plc is exiting five African markets in a strategic review that will leave it with the Kenyan and Nigerian subsidiaries as its most important units in the continent.
https://www.facebook.com/
 
You used to have branches in Tanzania like uchumi supermarket and Nakumat.

Niliwahi kuwa employee wa Uchumi ila mlifilisika 2016 kwa sababu ya ufisadi na sio operational environs..Wakenya nyie ni wezi balaa.
Nenda sasa utafute kazi KCB, Equity or any other Kenyan company operating in Tanganyika. You can't run out of choices
 
Kenyans engineers?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji332][emoji332][emoji1]
Yes, don't forget that Kenyan engineers built one of Tanzanian airport ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
source by who ?? mama ngina๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ