Hili eneo tu hpa mbez to mbweni ni roughly 116km² embu leta nawew ya hzo sehem mnazosifia tuone ukubwa wake halaf tuhame field..Sehemu duni ya Karen ambayo ume post but can't find it kwa google earth!! giving you the benefit of doubt, sehemu ilio duni sio Karen yoote, so matako ya Karen ni nafuu kuliko makazi ya Dar[emoji23][emoji23][emoji23] wacha nikuwekee google earth ya Karen kila sehemu..,
View attachment 2187282
View attachment 2187283
wacha tuseme tu ukweli........ cbd ya dar ni hapa tu. no other tangible business squareTofauti ya Nairobi na Dar ni kama mchana na usiku.
Dar ikona CBD moja kama jua.
Bado unaendelea na assumptions?sa mkisema tumewaigga..... wagandarée waseme nn ss.. na eu jee.?
hivi hakuna chochote tz inaweza tesa kenya
Ugx
View attachment 2187399
KesView attachment 2187521
euros €
View attachment 2187382
Tsh
View attachment 2187379
Hakuna assumptions, hio kijiji hata muitafutie angles ngapi ni ndogo sana, uswazi ndio kubwa. Kuna vlogger niliona anatembea kutoka Upanga, Kisutu hadi Posta.Bado unaendelea na assumptions?
🤣 🤣 🤣 🤣Nimekuwekea viwanja ulivyoweka picha ya google kuonesha the state of these facilities which is different ftom what you are trying to portray here. Ila inaonekana hukubali umengangania picha zako za zamani mimi nifanyeje sasa?
Mkwakwani Tanga na Kaitaba Kagera [emoji116]View attachment 2187500View attachment 2187501
Ndio hizo barabarani. 😃Haya mna assemble halaf yanakwenda wap? Mbona hayaonekan barabarani[emoji28]
Embu post picha tano za mabasi tofauti yakiwa barabarani, achana na hz zlizopozi kwaajili ya picha.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwani unaexpect area ingine ndani ya one CBD city.wacha tuseme tu ukweli........ cbd ya dar ni hapa tu, na hakuna kwengine
View attachment 2187511View attachment 2187514
Mbona umetuma moja[emoji3]Ndio hizo barabarani. [emoji2]
Unataka nikutumie millioni ngapi?Mbona umetuma moja[emoji3]
Ama hukunielewa[emoji28]
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mbona nmejieleza vzur tu hpo[emoji28]Unataka nikutumie millioni ngapi?
Haya mna assemble halaf yanakwenda wap? Mbona hayaonekan barabarani[emoji28]
Embu post picha tano za mabasi tofauti yakiwa barabarani, achana na hz zlizopozi kwaajili ya picha.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hata ungenyamaza tu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Nimekuwekea viwanja ulivyoweka picha ya google kuonesha the state of these facilities which is different ftom what you are trying to portray here. Ila inaonekana hukubali umengangania picha zako za zamani mimi nifanyeje sasa?
Mkwakwani Tanga na Kaitaba Kagera [emoji116]View attachment 2187500View attachment 2187501
True, btw, the notion Tanzania has better stadiums than Kenya is very false. Ukitoa Benjamin Mkapa stadium hakuna kitu hapo. In Kenya we have so many small stadiums built by County governments huwezi hesabu.
Dandora stadium
Bukhungu Stadium, Kakamega
Kirigiti stadium under construction, Kiambu
Nyayo stadium, Nairobi
Kenyatta Stadium, Machakos
Kinoru stadium, Meru
Joho Stadium, Mombasa
Haya mna assemble halaf yanakwenda wap? Mbona hayaonekan barabarani[emoji28]
Embu post picha tano za mabasi tofauti yakiwa barabarani, achana na hz zlizopozi kwaajili ya picha.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Wew sijui kama hta ulikua unaaoma maswali ndo ujibu. Ok ntumia picha ya basi lenye route tofauti ya Nairobi tu Mombasa
Kwanza Naona Mnamioyo AiseeInfinix x 657!
Yaani mimi huyu nipoteze muda wangu kubishana na mtu wa infinix! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza Naona Mnamioyo Aisee
Hta mwenzako alipost hilihili, kwani ndio hili tu mnalo[emoji3]