Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa has the shortest turnaround time for ships in the region after revamping.., imagine a ship can be offloaded even in a day, which hapo zamani it could take days to even a week or two, mbona ships ziende kupanga line in Dar for weeks?
 
Kwenda kabisa. Kwani unafikiri Kenya inaitegemea France kwa lolote? Unafikiri Kenya ni West African countries (Francophone countries) zinazofirwa na France usiku na mchana?
Wewe unajua Kenyatta alikwenda France kufanya nini? Au unajitoa ufahamu tuu hapa?
 
Hili Tanzanians can't grasp.., Kenya is on another level, despite the challenges we ain't equals with Tz.., hapa it is too obvious, kuna many factors I can outline between the two countries kuonyesha Tz is way below..,
 
Mombasa has the shortest turnaround time for ships in the region after revamping.., imagine a ship can be offloaded even in a day, which hapo zamani it could take days to even a week or two, mbona ships ziende kupanga line in Dar for weeks?
That is true. Mombasa port is about to get even more efficient juu next month Second container terminal II itazinduliwa. Hii ni terminal kubwa sana yenye capacity ya 450,000 TEUs p.a. STS Cranes tayari zimewasili. So hii new berth+terminal ikizinduliwa next month, hawa malazy hawatatuona pahali popote. Tutawaacha kwa vumbi.
 
AKA logistics hub 😂 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Na mlivyokuwa mnalilia Total apitishe bomba la mafuta la UG lipitie Kenya hadi Kentatta kwenda France kubembeleza lakini wapi. Mataifa makubwa duniani huchezea weak states sana Kenya alipoanza kigeugeu cha vote ya vita vya Urusi France wakaona ngoja tuwatengeneze waone umuhimu wa kupinga hii vita matokeo yake fuel shortages uchumi unayumba.
 
Ninyi mna mara 2 yetu na kwa ground hamna mlichofanya 🤣



 
Kama wao strong na sisi weak mbona raia wao amekula kichapo na hakuna kitu watakachotufanya? Mbona tumedeport raia wao hadi kwao nyumbani. Hio ni ishara tosha kwamba hatuwaogopi hao.
 
Ninyi mna mara 2 yetu na kwa ground hamna mlichofanya 🤣

View attachment 2186884

View attachment 2186886
Haukwepi, ya Kenya huwa wazi siku zote na tunalijua sana, ila Tanzania ni balaa, yaani ukiangalia deni ongeza na budget yenu, alafu utazame hiyo uchumi wenu hafifu, yaani pato kwa mwaka ni aibu kwa nchi kubwa ya idadi kubwa ya watu.., ufukara on display, you are LDC for sure, hamujiwezi!!!.., mtu ako na watoto wengi, mahitaji mengi na mshahara kidogo..., ufukara, Tanzania is fundamentally poor, which is a mindset, yaani ujinga tupu., hamfai kukuwa vile kabisa, hamuna any reason whatsoever, so ni ujinga wenu tu.
 
Kama wao strong na sisi weak mbona raia wao amekula kichapo na hakuna kitu watakachotufanya? Mbona tumedeport raia wao hadi kwao nyumbani. Hio ni ishara tosha kwamba hatuwaogopi hao.
Subiria consequences zake muda sio mrefu utakuja kulia hapa.
 
A field in electronic billboard around the pitch umeona wapi hiyo? Lete uwanja wowote kunyaland ambao una electronic billboard kuzunguka uwanja.
Wewe umeidharau Kenya sana. Unataka billboard tu? Sisi tuna hadi TV kubwa kwenye stadium. Hivi unajua kwamba Kenya ndio nchi ya kwanza barani Afrika kuhost world athletics championships under 18 na under 20? Wanariadha chipukizi kutoka kila kona la dunia walikuja Nairobi kwa mashindano?



 
A field in electronic billboard around the pitch umeona wapi hiyo? Lete uwanja wowote kunyaland ambao una electronic billboard kuzunguka uwanja.
Huyo jamaa ni comedian ndio maana sikujibu tena . Utaumiza vidole tu kumjibu bwana mapesa
 
Sikiliza, kwasasa Tanzania tunaongoza tunaongoza katika miradi mingi inayotumia pesa za ndani, chukua miradi miwili pekee,
1)Ujenzi wa bwawa la umeme $3B
2) Ununuzi wa ndege 15 za ATCL $2.2B

Jumla $5.2B

Kenya + Uganda +Rwanda kwa pamoja hamuwezi fikia hiyo pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…