sio naponda shida yenu munahara topeSi ati sitaipenda ..Tatizo unaponda wa kenya ilhali kwenu pia mambo si mazuri...only time will tell wacha tuone kama Mtaja pata faida..
๐๐๐๐ kinachowauma nyinyi sisi kununua ndege mulitaka tukodi zenu chakavu?? kq ina miaka 50 inamiliki ndege tatu chakavu serious??
yani shirika limeingiza hasara ya 15.8b ksh(140m usd) na bado kuna pesa imetumika kuliwezesha shirika 50b ksh (450m usd) tena ni loan
hvi mulirogwa na shetani gani๐คฃ๐คฃ
Mimi hakuna kinacho niuma..chenye kinanishangaza unaponda wakenya uku kwenu pia hali si nzuri...loss bado mnapta..hakuna siku mshawai pata faida..๐๐๐๐ kinachowauma nyinyi sisi kununua ndege mulitaka tukodi zenu chakavu?? kq ina miaka 50 inamiliki ndege tatu chakavu serious??
yani shirika limeingiza hasara ya 15.8b ksh na bado kuna pesa imetumika kuliwezesha shirika 50b ksh tena ni loan
hvi mulirogwa na shetani gani๐คฃ๐คฃ
From TZS 60bn loss to TZS 36bn net loss that alone should tell you something.Si ati sitaipenda ..Tatizo unaponda wa kenya ilhali kwenu pia mambo si mazuri...only time will tell wacha tuone kama Mtaja pata faida..
hujui kinachokuuma na kukushangaza๐๐Mimi hakuna kinacho niuma..chenye kinanishangaza unaponda wakenya uku kwenu pia hali si nzuri...loss bado mnapta..hakuna siku mshawai pata faida..
serious ??๐๐๐๐๐๐Si ati sitaipenda ..Tatizo unaponda wa kenya ilhali kwenu pia mambo si mazuri...only time will tell wacha tuone kama Mtaja pata faida..
nimecheka sanaKale kabalozi ka kunyaland cha UN kalitia aibu sana mwanzoni mwanzoni mwa vita ya ukraine,hapo mungiki wamechange gear angani baada ya kuona misimamo ya mataifa mengine ya kiafrica na asia,mungiki masnitch sana aisee!
Deni gani tena. Si nilifikiri mnanunua ndege zenu kwa pesa ya ndani, kama mlivyokuwa mkisema? Kwani kuna madudu ambayo siyajui?Mkumbushe kwamba lile deni limeshapunguzwa kwa asilimia 50% kwa kipindi kifupi tu cha miaka isiyozidi mitano ya operation since revival of the national carrier.
Hahaha. Halafu wanaringa kwamba wananunua ndege zao kwa cash. Pesa ambayo ingetumika kufanya mambo mengi muhimu katika nchi yao masikini. Hii cartoon imechorwa na Mtanzania mwenzao.Instead of strategizing ..nyinyi mnataka kuongeza losses by buying more plane..Nani aliwaroga nyinyi..
View attachment 2186591
View attachment 2186588
Ninyi ni masikini wa kutupwa hamna pesa tulieni tuwaonyeshe jeuri ya pesa, pambavu kabisa ninyiSisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...
Deni la ATCL lililolkuwepo kabla ya hizi ndege kununuliwa, kumbuka kwamba ATCL ilikuwepo na ilikua ikijiendesha kwa hasara, kwahiyo ilijilimbikizia madeni makubwaDeni gani tena. Si nilifikiri mnanunua ndege zenu kwa pesa ya ndani, kama mlivyokuwa mkisema? Kwani kuna madudu ambayo siyajui?
Kila kitu kinakwenda Kama kilivyopangwa, wapi umesikia Kuna upungufu wa pesa?Hahaha. Halafu wanaringa kwamba wananunua ndege zao kwa cash. Pesa ambayo ingetumika kufanya mambo mengi muhimu katika nchi yao masikini. Hii cartoon imechorwa na Mtanzania mwenzao.
View attachment 2186695
Acha uongo, 500 inaitwa Jero sababu ya voucher za 500 kutoka mtandao wa shivacom uliokua unatengeneza voucher za karatasi zinaitwa shivacom Jero-Jerohere is why Tsh500 is called 'Jero' in tz.
that name actually originated from kenya. from Cyrus Jerongo who "owned" all the ksh500 Notes during the YK'92 political era
KView attachment 2186631
Facility ya kuezekwa na mabati only in Kenya [emoji1787]hivi racing track imepachikwa tartan, na sitting terrace ime circumnavigate the whole stadium round.... hii nayo ni kali mzee...[emoji91][emoji91] this is a new one for me.! never knw such a facility in langata before
View attachment 2186530
Tutanunua tuu maana GDP inaruhusu halafu tunafuata ATC business strategy smbayo ni ya kitajiri kidogo ya kuanza na ndege nyingi.Instead of strategizing ..nyinyi mnataka kuongeza losses by buying more plane..Nani aliwaroga nyinyi..
View attachment 2186591
View attachment 2186588
GDP inaruhusu halafu airline business ni service hence profits come second. Angalia mashirika ya uarabuni Qatar, Emirates, Etihad yanavyokuwa heavily subsidised na serikali zao.Sisi tunaongelea kuhusu nyinyi..how can you buy more planes and yet you are making losses..Hakuna siku mushawai pata faida..why dont you lease then..ni wapi ulishawai sikia ndege zinanunuliwa cash...Nani kawaroga...
Messing with France won't be good for kunyans.. there will be consequences... A journey to a very rough road for our neighbors... Worst enough they are heading to general election which already shows signs of hostility and chaos..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi imerogwa aloo
yani huyo mzungu ndo kachezea uchumi wa mafuta kenya nzima