😀😀😀😀😀😀😀1980 amekufunga kamba tayariMkiweza Ilo itakua vizur,sijasahau iyo flyover ya 1980 name it apa niifatilie plz
Sent using Jamii Forums mobile app
hauwezi fananisha nairobi na beijing...Bila hizo traffic ingekua worse then ata kukue na Brt personal vehicles bado ni mingi na ndio maana barabara zina expandiwa kila kukicha...then ata Beijing wanahizo zote hadi brt but traffic ni worse ya nai
sent from iPhone 7
kashawatia kamba tayari😀😀😀😀😀😀😀😀hauwezi fananisha nairobi na beijing...
kiukweli government yenu imezingua tatizo hamkuzi mji mnajenga vitu pasipo plan yenye mtazamo mnajenga vitu kama urembo baada yakufanya solved angalau yenye solution......mbeleni mtapata sana tabu....fly over 4 nothing
...bila kusahau kwenye hizo fly over 30 mlizonazo hapo nairobi nahitaji picha za fly over 5 tu namajina yake maana unachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa wanachukulia zile ni urembo popote zinawekwa tu.....wakenya dhida kweli serikali zao zimejua pakuwakamataNairobi mnahitaji makofi,mlianza kununua nyama wakati ndani hakuna Mchele wala unga...flyover zote hizo traffic kubwa iko palepale what is the use?
Nyie ni manyang'au Angalia tumeshaweza kupunguza foleni na mradi wa brt then tunaenda kwenye flyover na interchanges nadhani nyie ni wale mnaokimbia vizuri lakini nje ya mstari
Sent using Jamii Forums mobile app
acha utoto collo hamuwezi kuwa na light train zitakazo kidhi mahitaji ya raia wanaofanya movement town hata ikifika miaka trillion ni kitu ambacho hakiwezekani ...hata mataifa yalioendelea hakuna hiyo kitu hivyo ukisema kama mtatoa matatu na mtumie train tu hapo unatuzingua...Mzee wa iphone7Stage za matatu zitatolewa cbd then light trains zitabeba wase hadi tao...iyo ni plan poa
sent from iPhone 7
sisi hatujivunii fly over wala chochote kwa sasa ...hiyo ni kauli yako.....bado tunasafari....sisi si watu wakujivunia vitu vya nakshi kama nyieFlyover si kitu ya kujivunia....2017
Ni aibu karne hii
nimeuambia alete fly over tano tu za nairobi mpka sas ajaletaMkiweza Ilo itakua vizur,sijasahau iyo flyover ya 1980 name it apa niifatilie plz
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa Mzee wa iphone7 anakuambia wana fly over almost 30 nimemuambia alete 5 tu....sitaki mainterchnge mpaka sas aleti picha😀😀😀😀😀😀😀1980 amekufunga kamba tayari
jamaa Mzee wa iphone7 anakuambia wana fly over almost 30 nimemuambia alete 5 tu....sitaki mainterchnge mpaka sas aleti picha😀😀😀😀😀😀😀1980 amekufunga kamba tayari
kashawatia kamba tayari😀😀😀😀😀😀😀😀
nimemuambja alete picha za fly over 5 namajina yake naona kimya mpaka sasaNisawa na kusema unamiaka 40 bado unakula home au sio?lakini unaishi....akiekufa njaa kwakukaa mtaani Nae tutamuita shujaa au vp?usisahau msemo kawia ufikeFlyover si kitu ya kujivunia....2017
Ni aibu karne hii
sisi tutajivunia pale ikifika wakati tupo saw na NYsisi hatujivunii fly over wala chochote kwa sasa ...hiyo ni kauli yako.....bado tunasafari....sisi si watu wakujivunia vitu vya nakshi kama nyie
tutakachojivunia ni pale uchumi wetu ukiwa imara,ajira n.k hizo vitu za fly over ni kawaida tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
kutangulia sio kufika... remember,we have a number of things you don't have inluding this....First flyover in 2017????? congrats LDC
sent from iPhone 7

Hahaha wasee wamepata fly over ya kwanza. ....bwana asifiweeee......pwahahahaFirst flyover in 2017????? congrats LDC
sent from iPhone 7
2017 asante sana
Ameen....tuonyeshe zenu hata 5 tu by pic na majina.....maana Collo kaenda kuzurura city garden park...Hahaha wasee wamepata fly over ya kwanza. ....bwana asifiweeee......pwahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app