Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marekani atakuja kumkinga apigwe yeye kombora!
subutu hehe unafkiri nucleur weapon ina macho 🤣🤣 marekani sahii hajui hata ashikilie wapi
iraq hapakaliki
ukraine maji yamezidi unga
south korea na japan wako kikaangoni
saudi arabia nayo haina muelekeo
 
Go and ask Magufuli why he came to seek treatment in Kenya, ukikosa jibu Tundu Lissu popote alipo na ukikosa hapo pia tafuta Rose Muhando and many more profs[emoji1787][emoji23]
Hata mbwa wa Magufuli hawezi kuja huko shit hole, Tundu lisu hakuna mlichomtibia zaidi ya kumuwekea mitungi ya gesi. Nimecheka uliposema Rose Mhando [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Swali langu ni kwamba mnafanya bone marrow transplant? Mbona unaweweseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Kenya inakuwaje juu ya Tz ilihali thousand of Kenya are heading to Tz seeking for better treatment, kwa ss cc co saizi yenu kwenye sector ya afya.
 
Akili yangu haikubali kabisa kwamba hivi vitu vinavyotokea ni kwa bahati mbaya. Kuna movement underground is going on. One day I will close my case.
 
kabisa huo ndiyo ukweli

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kenya inakuwaje juu ya Tz ilihali thousand of Kenya are heading to Tz seeking for better treatment, kwa ss cc co saizi yenu kwenye sector ya afya.
Please mention at least three Kenyans who have gone to Tanzania for treatment Andi will mention million tanzanians coming to Kenya daily to look for better treatment [emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…