Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo unafikiri sukuma wiki na kabeji za wakulima wa Kenya haziuzwi kwenye malls?
 
Hizo malls mbili moja is owned by the government and the other by the Botswana guy. Yani mtanzania hana hata pesa ya kujenga Mall [emoji23]
Biggest mall in the region ipo under the final touches hapa, andaa machozi tu!





 
Mjenge mkitoa pesa wapi?[emoji23]

Unafikiri sisi tunasubiri wachina waje watujengee, sisi tunajenga tu, Imagine hatujakuomba hata yake mapesa yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiangalia vizuri, unaona Concrete polls pembeni zikisubiri kusimikwa na Barabara ipo inamaliziwa itakamilika soon.


Angalia kibao hicho kilichodondoka na Jina la mtaa.











 
Why are you showing different areas with the one I posted? I want you to show me the exact location I posted😂😂👇👇



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…