Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imagine bro. what's the point of having a car then? kisha saa io umefika destination unaenda dukani kununua painkillers
vitu vya kawaida sana........kuwa na gari si kigezo cha kumfanya mtu aliendeshe kila siku acha ulimbukeni...na ushamba ndiyo maana huwa nakuitaga chokoraa...kumbe huwa sikosei[emoji12] [emoji12] kichwa chako hakina kitu kimejaa funza chokoraa lewis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jihurumie bro. kabla hujaanza kuitana mtu chokoraa, jiangalie kwanza unakaaje
 
ila vizuri pia inapendeza muwe na vyote vyote kama sisi yaani light rail na brt kama jinsi dar tulivyofanya.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jihurumie bro. kabla hujaanza kuitana mtu chokoraa, jiangalie kwanza unakaaje
View attachment 573101
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ha haa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ndiyo maana nakuita chokoraa yaani hiyo kofia uliyoivaa na hiyo sura yako ni vituko sibishani tena na chokoraa kama wewe dah....umeniacha hoi leo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

kofia kama askar wa vietnam in 1970s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani haya mambo yameishia wapi?
 
Sina mashaka na Jay kabisa...frankly speaking we jamaa uko poa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusimama ndio shidaangu

sent from iPhone 7
Colloh buses za BRT zina seat sema kwa vile mnapanda wengi na kushuka seat sio priority hapo...unawah town unaendelea inaendelea Mishe zako,kama key issue ya matatu ni mziki basi nyie mko nyuma sana,unataka kusikiliza mziki kwenye gari hauwez kua upo serious....mziki kawashe kwako Au nenda club..usafiri wa haraka uwahi michongo yako na kurudi ulipotoka we kama unafata bus sababu ya mziki na seat sehemu ya km 15 huo ni utoto as kiwango cha under 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
dahh umenifurahisha _sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] wakenya wapuuzi sana type kama ya COLLO,LEWIS,OJAY,ELMATADOL.....yaani wanafuata mziki kwenye matatu...pia wanafuata na seats ndiyo maana mimi huwa nawaita wazee wamezeeka...da aisee kweli ni jobless people....ndiyo maana kwenye garden park wakenya wengi wanazagaazagaa ovyo kama mbuzi ....kisa mziki wa matatu usubuhi wanadandia na kwenda town bila ishu za msingi jioni wanarudi kwa slums zao[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…