Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,143
- 107,704
Yani Tanzania kama sio mhindi basi ni mkenya, kama sio mkenya ni mzungu. Ni lini watanzania wataanza kucontrol the economy of their country?Azam TV to expand to Zimbabwe
October 25, 2021
By Chris Forrester
Azam TV, owned by the Tanzania-based Bakhresa Group, is to expand to Zimbabwe.
The service is already present in Tanzania, Uganda, Malawi, Kenya and Rwanda. Its bouquets cover sport, entertainment, news, music and religious channels.
The new service will broadcast DTH and has been licensed by the Broadcasting Authority of Zimbabwe (BAZ). Transmissions are expected to start by year-end.
Azam TV uses Eutelsat’s 7B/7C satellites from 7 degrees East.
Azam Media says they expect to also carry certain Zimbabwean channels. However, an earlier attempt to supply a second DTH service (besides that of MultiChoice/DStv) for Zimbabwe failed when Kwese TV was forced to close (in 2019) when the country suffered a financial crisis.
Afadhali kwako, kwa huu upandaji wa vitu , rushwa , watu wanaujum pka mradi wa bwawa la umeme wanakatakata umeme mpka tumepigwa faini , na nakwambia kwa huu upuzi wa kuwaumiza watu wa chini matokeo utayaona in no time, endelea kuwa kipofuThibitisha ....Mwaka ulioisha kabla mambo hayajabadilika ilikua huruhusuwi hata kusema neno covid-19 ,huruhusiwi kusema vyuma vimekaza huruhusiwi kupinga chochote kinachofanywa na serikali hadharani au kwenye mtandao kwahyo yale maisha ndio mliona tumefanikiwa?watz tatizo ni unafiki kila mahali afadhali huyu Raisi wa sasa
Kama huoni uhusiano basi ww ni jingaaaSasa uhaba wa mafuta inahusikanaje na GDP wewe kilaza?
Sisi hatuna tabia ya kuchapachapa hela kila wakati kwahiyo kuwa na kiwanda cha kuchapa hela haina tija.Angalau ingekua inamilikiwa na central Bank of Kenya
Worst enough ni white private business [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahah ndo maana hamtaacha kunya mtoni!
Just say that you don't have the capacity to own such facilities [emoji1787][emoji1787][emoji23]Sisi hatuna tabia ya kuchapachapa hela kila wakati kwahiyo kuwa na kiwanda cha kuchapa hela haina tija.
Good afternoon again [emoji4][emoji23]Hahah ndo maana hamtaacha kunya mtoni!
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani imepokea wakimbizi wengi kushinda nyingine. Usiongee vitu usivyovijua. Kwa kupokea wakimbizi hamtushindi. Ni kweli hatukupokea wakimbizi wa nchi za SADC ila tumepokea wakimbizi wengi sana wa nchi zinazotuzunguka. Uganda, South Sudan, Ethiopia na Somalia. Kwamba Somalia tumepokea Wakimbizi 500,000 kuanzia 1992. Watu kama akina Ilhan Omar walikuwa wakimbizi Kenya kabla ya kuenda Marekani na kuwa representative wa Minneapolis. Kuna super model anaitwa Halima pia yeye alikuwa mkimbizi Kenya na sasa anatambulika duniani kote. Usiongee vitu usivyovijua.Vipi Algeria na Ethiopia ambazo zote zilipigana vita na wakoloni, mbona walisaidia?, Sio lazima kupigana vita, Kenya ilikataa hata kuwapokea wakimbizi waliokua wanatoroka utawala wa wakoloni, wakimbizi wote waliishi Tanzania na Zambia
Unachekesha sana wewe yaani tuwe na capacity ya kujenga USD 14b electrified sgr na usd 3b hydroelectric power plant tushindwe kununua printers seriously something is wrong with your thinking. Kama mradi hauna tija hatujengi ni simple logic even if i challenge you utuoneshe cost ya kuset up hiyo printing facility utaleta kichekesho hapa.Just say that you don't have the capacity to own such facilities [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Are talking about $14B loans, donations and grants for SGR and $3B loans, donations and grants for the dam?Unachekesha sana wewe yaani tuwe na capacity ya kujenga USD 14b electrified sgr na usd 3b hydroelectric power plant tushindwe kununua printers seriously something is wrong with your thinking. Kama mradi hauna tija hatujengi ni simple logic even if i challenge you utuoneshe cost ya kuset up hiyo printing facility utaleta kichekesho hapa.
Usiwe kama hujui historia Tz imepokea wakimbizi wengi zaidi ukanda huu toka Burundi, Rwanda, RDC na Uganda. A few years ago tume wa naturalize wakimbizi kama 1 million na kuwapa uraia sembuse hako kanamba chenu cha 500k. At any one time Tz had over 3 million refigees in the western parts of the country.Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani imepokea wakimbizi wengi kushinda nyingine. Usiongee vitu usivyovijua. Kwa kupokea wakimbizi hamtushindi. Ni kweli hatukupokea wakimbizi wa nchi za SADC ila tumepokea wakimbizi wengi sana wa nchi zinazotuzunguka. Uganda, South Sudan, Ethiopia na Somalia. Kwamba Somalia tumepokea na Wakimbizi 500,000 kuanzia 1992. Watu kama akina Ilhan Omar walikuwa walikuwa wakimbizi Kenya kabla ya kuenda Marekani. Kuna super model anaitwa Halima pia yeye alikuwa mkimbizi Kenya na sasa anatambulika duniani kote. Usiongee vitu usivyovijua.