bado hiyo haiondoi ukweli kwamba wakenya wengi ni washamba.Kuna mabasi kama hayo hapa kenya lakini sijawahiona mtu yeyote amejishikilia kwenye hizo hanger, na sio kutokujua ni za kazi gani lakini sheria zetu hazituluhusu kusima kwenye mabasi kama gunia za carrots
as you keep whining and consoling yourself,we keep rolling with them BRTs.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama new york [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Kuna mabasi kama hayo hapa kenya lakini sijawahiona mtu yeyote amejishikilia kwenye hizo hanger, na sio kutokujua ni za kazi gani lakini sheria zetu hazituluhusu kusima kwenye mabasi kama gunia za carrots
mkuu, chagua moja usimame saa moja na nusu unuke jasho au uendeleee kukaa kwenye hao kungunijasho inanuka kwa hiyo BRT ni mungu tu anajua....ati nisimame hivi hadi Thika for one and a half hours ......pwahahaha
haiwesmek
.
nganya anyday....free Wi-Fi. ...ngoma poa. ...sweet ride.....and The sWAG. .....Sisi hapana copycats.
Whats the need of BRTs in Dar while most of Dar is really impoverished and underdeveloped. ...SMH
Kama Kabul city
jasho inanuka kwa hiyo BRT ni mungu tu anajua....ati nisimame hivi hadi Thika for one and a half hours ......pwahahaha
haiwesmek
.
endelea tu kutoa povu....sisi hatujari...tunajua unasumbuliwa na hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lol....hii ndio kitu inapimana na Nairobi. ...SMH
Spensa....hii si ni slum city of Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
The need of brt in Dar is to save time for commuters,smart transport and safe travel across the major roads in the city from outskirt to CBD easilynganya anyday....free Wi-Fi. ...ngoma poa. ...sweet ride.....and The sWAG. .....Sisi hapana copycats.
Whats the need of BRTs in Dar while most of Dar is really impoverished and underdeveloped. ...SMH
The need of brt in Dar is to save time for commuters,smart transport and safe travel across the major roads in the city from outskirt to CBD easily
Sent using Jamii Forums mobile app
In a week are sure son?BRT ni kitu Kenya inaweza adopt in a week....but it has been proved uneffective in Nairobi. ....thats why tunawashow Nairobi is planning on a light rail and a subway system of transport.
Modern automatic car washing machine
View attachment 564504
nilimwambia asitumie maneno asiyoyajua meaning yake akakataa kusikia. mwache ajiaibisheThat not modern kaka.
Tembelea US na Canada hopefully Europe pia ujionee modern car wash.
Mie ni Mtanzania mwenzio