The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Dom ni ya moto Sana Mzee just second to Dar.Which is fastest growing city in the region between the 2? 🤔
Arusha
View attachment 2167009View attachment 2167010View attachment 2167011
Dodoma
View attachment 2167012View attachment 2167013
hvi munamuelewa huyu 😂😂😂😂KTDA and Sacco's control more than 80%of Kenyan tea,
Izo zingine ndio za those foreign firms like Finlay's,Unilever, Brook which still ziko listed kwa Nairobi stock exchange na Kenyans have shares ndani yao...wacha ujinga
Foreign tea farms Ni za Brook, Finlay's, chamjii and Unilever pekee
who is the owner ???Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.
alaf baadae munalia kwenye toll zake 🤣🤣
hapa sasa ndio patamu sehemu ambayo maumivu yatapatikana 🤣🤣🤣 mchina ndipo mutamjua sasa
Haya maneno huwa nasema kila siku kwamba Tz ina miji mingi yenye maendeleo than any country in the region na huu ukweli wanaujua.Huyu kaongea ukweli kichizi, huyu ndio mkenya mwenye akili
Jamaa anawapa vitasa hatari, Wakenya wengi wanaijua Tz vzr sn na wanajua kwamba tumewazidi mbali sema humu wanajitia uchizi tu.
Mikunya itamuassassinate, kaongea ukweli mbaya mno 😅😅😅😅
Ndiyo ulivyofundishwa shule hivyo kwamba chai inatoka nchi jirani zen inakuja Mombasa alafu inawekwa label ya Kenya lkn vitabu vitasoma majina ya hizo nchi au sio, mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]After auctions Kila chai inauzwa abroad as per the country of Origin
Wacha kuwa mjingaJinga
Jamaa wamebaki na miradi miwili tu ya kuonesha, kama co GTC ya mchina basi ni xpress way ya mchina pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchina kwa uwekezaji View attachment 2167246View attachment 2167247
Ready for exploitation [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mtu wa hovyo huyoHao ndo wale wapuuzi huvulugaga vikao vya kifamilia..
A black Kenyan, mwenye pia anaown alot of tea in Nandi County.Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.
Hawa watu wanafaa kutembea bomet county the biggest producer of TEA IN KENYA 100% KTDA and Sacco's no foreign farms there,Mwambie Tanzanian biggest Tea farm is owned by Kenyan.
Makunya yana wivu sn sijui yameumbwaje, miroho mieusi kama mingozi yao.Mikunya itamuassassinate, kaongea ukweli mbaya mno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]