Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hakuna kitu unajua, kazi ni kupiga tu kelele hapa.

View attachment 2164271

View attachment 2164272
Hahahaha, umeficha tarehe ya hiyo article ya juu sio?[emoji23][emoji23][emoji23], Kenya haiwezi kupambana na Tanzania, tumewazidi katika kila kitu
 
Hahahaha, Kenya hamuwezi kushindana na Tanzania labda kwenye ukabila na njaa[emoji23][emoji23]
 
Tarehe gani imefichwa? Ama unajifanya kipofu juu your lies had been exposed?😂😂😂👇👇👇



 
Yeah, hatuezishindana na mdogo wetu. That's like downgrading ourselves 😂😂👇👇👇



 
Waambie Turkana has an ICT school, something which I doubt if is even available outside Dar if not the whole Tanzania.

 
Our roads ziko na enough shoulders plus three Layers,
Huko kwingine Ni kilayer kimoja kimono!! without shoulder and enough Bitumen (kuparara)!!!
Hapa hakuna battle my brother. Ni kuwafurahisha tu
 
This road starts in Kitale and ends in Lokichogio and was completed last year. Shida yako iko wapi bongolala even if it was completed this morning?
Nataka uoneshe maala watu wanaishi na co road pekee kwani watu wa Lodwar na Northern Kenya wanaishi barabarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…