Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inawezekana lakini mara nyingi huwa wanaiba kwenye maduka, sio hii yenu mtu mmoja anaibiwa na watu 50 actually hii ni daily life situation in Nairobi
Nairobi unayo ishi wewe ama ipi?., eti daily, sawa sikujua wewe ni mkaazi wa Nairobi🤣🤣🤣🤣😂😂😅😅
 
Vumilia najua ni uchungu lakini zoea kaka.., Tanzania siku moja mtafika tu., ni mda usife moyo mzee, jipe matumaini 🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅
nope' hatuwezi kufika huko......yani sie wabongo tulvo wajanjanja hiv tujenge mighorofa inasura tafkir boflo 😂😂😂😂😂😂😂😋😄😄😄
 
Unajikuna sehemu nyeti ukicheka mwenyewe, ona ulivyo boya wazi wazi, sawa ba mzee, jibambe🤣🤣🤣😂😂😂😅😅😅😅
 
nope' hatuwezi kufika huko......yani sie wabongo tulvo wajanjanja hiv tujenge mighorofa inasura tafkir boflo 😂😂😂😂😂😂😂😋😄😄😄
Ikowapi zenu?.., ngojeni miaka 50, unaumia pole sio kwa kupenda kwangu ni ukweli ulivyo😂😂🤣🤣🤣😅
 
Ikowapi zenu?.., ngojeni miaka 50, unaumia pole sio kwa kupenda kwangu ni ukweli ulivyo😂😂🤣🤣🤣😅
mda wote upo humu usnambie hujaziona apartments za dar.......
au mchawi mb?
 
Nairobi haiitwe nairobbery by chance

Ni jiji la vibaka na kila aina ya chaos sababu ya slums nyingi na ufukara uliopea

Yeye alishangaa mbona tunaita Nairobi nairobbery, tuko 2022., hii sio kenya unayoijua kupitia mitandao., kila kitu kiko wazi, karibu kenya weka wivu na chuki pembeni 🤣🤣😂😂
 
Nimemaliza pita pita zangu.., bado hapa mahali pako vile vile!!.., ilikua tu "salamu".., adios guys.
 
Hata upige nduru aje that's the truth. Kenyans hold your country by the balls😂😂
 
Yeye alishangaa mbona tunaita Nairobi nairobbery, tuko 2022., hii sio kenya unayoijua kupitia mitandao., kila kitu kiko wazi, karibu kenya weka wivu na chuki pembeni 🤣🤣😂😂
Basing on a budgeted 1 week tourist research?

Kwa ground vibaka kila eneo
 
lol 😂😂😂😂 its true that most of you 'your dreams is to have a toilet?
 
ok.... so today i've known why these brothers are all bitter with kenya, its not tht kenya is a bad country, but its just because they think kenya is more advantaged and the one eating the lion share in the EAC

 
So now Wakunya are propagating hate in Uganda! How many trade disputes r btn Uganda n Kunyaland?

mbona hauja-post hii?


 
Most of these dumb explanations are initiated and concluded by Kenyans themselves, you won't see any kind of stuff like this from a Tanzanian

You are forcing something doesn't exist, hakuna mtanzania anaeiwaza Kenya unless for reciprocation scenarios,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…