Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukimaliza kulia nakukumbusha kwamba hamna electrifitried SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heheheeee hiki kilio chote ni kwasababu ya ukweli kwamba tuna elimu bora kuwazidi? Eti sisi tutoe pesa zetu tulete engineers wa kikunya, hayo majengo yangesha poromoka hivi leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lishamba lingine hili hapaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, yaani tofauti kati ya SGR ya Kenya na yenu ni electric locomotives ambazo zitakua powered by electricity from overhead lines, which Kenya can do bila kubadilisha chochote kwa reli., nini cha ajabu hapo ba mzee?., kujikweza hamjamboπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£, kipande kidogo kimewachukua mda mrefu sana, nina hofu miradi mingi lined up in Tz zitapata wengi wenu kama mliondoka dunianiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
Ukimaliza kulia nakukumbusha kwamba hamna electrifitried SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
As you like man, jibambe tu, changes nothingπŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…
 
Onyesha apartments zilizojengwa na kumilikiwa na serikali ya Kenya kwa ajili ya wananchi wa ngazi ya chini[emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwa affordable housing.., Tanzania zipo?

Ungefanya utafiti kwanza ba mzee.., Kenya sio Tanzania., na ujue bado sisi ni bepari.., private sector imechangamka mara dufu..,

GOK project.., part of Uhuru Kenyatta's big four agenda., Affordable housing na ni classy..,




 
wanafunzi wa udom wanalala pazuri kuliko kunyans middle class
 
low quality yan hata balcony tishtahe πŸ˜‚πŸ˜‚ yani ni mabaya kama sura zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanafunzi wa udom wanalala pazuri kuliko kunyans middle class
Alafu na wewe unalala uswazi, yaani dream houses, makazi za mido class ya Dar, yaani za kawaida, na pia wao wakimaliza shule wanarudi pale pale kwa uchochole., matatizo ya ujamaa economy., taifa hafifu kiuchumiπŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii live situation tell millions of Nairobi economic situations than fake and unrealistic numbers from IMF and World Bank

Ukweli ni kwamba Nairobi ina fukara wengi kupita kiasi, hawa watu wametoka kwenye campaigns za uchaguzi sio kama ni kundi 1 with 1 intention, imetokea tu by chance kumbe wote wezi

Perfect cross section ya hali ya uchumi kunyaland

 
low quality yan hata balcony tishtahe πŸ˜‚πŸ˜‚ yani ni mabaya kama sura zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wivuuu.., na bado, zinakuja kwa fujo, kajinyonge, najua mnatamani isiwe hivyo lakini zoea ukweli tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚


 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ European standad vs Chinese second class πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Crime is crime can happen anywhere, and I condemn it, kama looters in England after a football match na kuibia watu, hama hauna taarifa, so what?, Inaitwa mob psychology, a group from a political rally or football match or a demonstration looting and taking things from people sporadically, so Dar is better than London ama Jozi? akili fupiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
 
Kwasababu ninyi hamjajenga reli ya umeme hamuwezi kujua jinsi inavyofanya kazi, hatuwezi kufanana, jielimishe kuhusu "signal system" ya reli ya umeme inavyofanyakazi, "there must be part of the railway to conduct electricity before signals can be transferred.

Kubali usikubali, our railway is one among the most advanced and sophisticated railway in the world, that's why stupid people like you can't comprehend this[emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbraaaaaayaaaa kama sura yako
mnaita apartment wkt hazina hadhi hata ya mwanafunzi kuishi hapo eboo?
Vumilia najua ni uchungu lakini zoea kaka.., Tanzania siku moja mtafika tu., ni mda usife moyo mzee, jipe matumaini πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Inawezekana lakini mara nyingi huwa wanaiba kwenye maduka, sio hii yenu mtu mmoja anaibiwa na watu 50 actually hii ni daily life situation in Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…