Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
pinnacle ni ya 2019 december...namba mtaisoma...Izo nyumba za avic na pinnacle ndio zimewaboost sana last year mlikua na nyumba 30 vs 27 nashangaa ghafla mmepaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Lakini si ndio kwanza wanachimba msingi mana sio kwa mbio hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawasumbua na electrified sgr hamtaamini. ...sasa sijui nani atakua kasoma no vizurpinnacle ni ya 2019 december...namba mtaisoma...
hapo hawataweza
yetu itakua ikipeleka bidhaa uganda by that time...lol! pinnacle the tallest in africa...my frend, Kenya is big...Tutawasumbua na electrified sgr hamtaamini. ...sasa sijui nani atakua kasoma no vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Dieselyetu itakua ikipeleka bidhaa uganda by that time...lol! pinnacle the tallest in africa...my frend, Kenya is big...
hamna tofauti...bora ilete pesa toka uganda...sio white elephants..mnatumia pesa nyingi kujenga reli mnapeleka nchi ndogo kama rwanda..lol! mna mchezo watz
Kwahyo upande huo Ni mmeshakaa...sawa mtabaki ntabaki pinnacle pekee[emoji38][emoji38]hamna tofauti...bora ilete pesa toka uganda...sio white elephants..
uganda washajiunga na tanzania muda sana πππππhamna tofauti...bora ilete pesa toka uganda...sio white elephants..mnatumia pesa nyingi kujenga reli mnapeleka nchi ndogo kama rwanda..lol! mna mchezo watz
wow big white elephantππππππpinnacle ni ya 2019 december...namba mtaisoma...
avic imefika 5th floor...pinnacle wamemaliza kichimba shimo...the deepest ever...lol! namba mtasomahizo hua zinageuka kua white elephantsππππ
hahaha hass ikwapi au bado wanachimba leo 4 yrs πππππππavic imefika 5th floor...pinnacle wamemaliza kichimba shimo...the deepest ever...lol! namba mtasoma
kwa pipeline ndio ila kwa reli bado...hehe...mnatumia mabillioni kupeleka mizigo kanchi kadogo ka rwanda...lol! whats the use of that expensive railway...atleast ours inapeleka mizigo kwa market ya 40 million people plus...sudan kusini pia watajiunga,...nyie eti rwanda na burundi..lol!uganda washajiunga na tanzania muda sana πππππ
punguza ushamba mingi bro...hass ndio pinnacle...walibadili jina ikawa pinnacle...lol! completion date is dec 2019 but the shorter building will be completed sooner...hohohahaha hass ikwapi au bado wanachimba leo 4 yrs πππππππ
kuchimba sio kujenga my friend unaeza kuchimba na ikabaki shimo hata 20 yrsππππ
asante kwa information wow 4 yrs wanachimba shimoπππππππpunguza ushamba mingi bro...hass ndio pinnacle...walibadili jina ikawa pinnacle...lol! completion date is dec 2019 but the shorter building will be completed sooner...hoho
sioni haja ya kuchimba shimo kubwa hivyo kisha kuiwacha...hawa jamaa wako tayari..kisha unakumbuka jengo lenyewe ni ya waarabu...Dubai...mbona wamejenga mingi kwao...hahaha hass ikwapi au bado wanachimba leo 4 yrs πππππππ
kuchimba sio kujenga my friend unaeza kuchimba na ikabaki shimo hata 20 yrsππππ
namba mbona zinasomeka
umekunywa changaa ama? lol! eti 4 yrs wamechimba shimo? in 2014 it was a Proposed building...asante kwa information wow 4 yrs wanachimba shimoπππππππ
big white elephantπππππ
hahahaah endeleeni kuchimba tu sisi tunahesabu miaka tuππππππsioni haja ya kuchimba shimo kubwa hivyo kisha kuiwacha...hawa jamaa wako tayari..kisha unakumbuka jengo lenyewe ni ya waarabu...Dubai...mbona wamejenga mingi kwao...
kaangalie hass walianza kuchimba mwaka gani???πππππππumekunywa changaa ama? lol! eti 4 yrs wamechimba shimo?
2019 ndio mtasoma namba....yaani mpaka johannesburg wameanza kutetemeka...wacha nikuletee link flani ya waafrika kusini walivolalamika...hahahaah endeleeni kuchimba tu sisi tunahesabu miaka tuππππππ