Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,810
Hii ni Ukraine inaharibiwa kila Siku. Sio Russia au USA. Ukraine na raia wake ndio wanaenda hasara.Hilo la kupigwa unaongea wewe ila Kazi inayofanyika huko battleground ni hii hapa [emoji116]
View attachment 2159107
Hasara ni Kawaida kwenye vita ndio maana tunamlaani Putin na kumlia timing 👇Hii ni Ukraine inaharibiwa kila Siku. Sio Russia au USA. Ukraine na raia wake ndio wanaenda hasara.
Stop being stupid.. Ukraine is a sovereign country, not a colony of Russia.it has the right to decide which direction to takeTruth ni kwamba Ukraine watapigwa na Russia. Vizuri wangetumia diplomacy kama vile Russia walikua wamesema. Wakue Neutral country kama Switzerland, Finland, Sweden etc na wasign agreement. Wangefanya ivo Russia hawange attack. But Zelenshky ni Zionist anataka tu vita
Nao marekamni wanafurahia kuwauzia vifaa.
Usinitukane tafadhali. Just state your opinion without abusing me.Stop being stupid.. Ukraine is a sovereign country, not a colony of Russia.it has the right to decide which direction to take
Russia wanaachieve objectives zao, USA wanachieve objectives zao. Ukraine raia wanakufa daily. Raia wa Russia na US hata wengine hawajui kuna vita majeshi ya nchi zao yanashiriki. Wanaonea kwa TV wakiendelea na maisha yao kama kawaida.Hasara ni Kawaida kwenye vita ndio maana tunamlaani Putin na kumlia timing [emoji116]
View attachment 2159117
NonsenseRussia wanaachieve objectives zao, USA wanachieve objectives zao. Ukraine raia wanakufa daily. Raia wa Russia na US hata wengine hawajui kuna vita majeshi ya nchi zao yanashiriki. Wanaonea kwa TV wakiendelea na maisha yao kama kawaida.
Na ndio maana Nairobi slums zimesheheni sababu mkenya akizaliwa County yoyote nje ya nairobi automatically Anafikiri sehemu pekee ya kutoboa ni Nairobi na nairobi ndio penye ahueni ya maishaHawana cha kuonyesha zaidi ya expressway ya mchina
Kwani kila kitu cha EAC kinawekwa Arusha? Huo ni upuuzi.bank kuu East Africa