Russia inadharau sana Ukraine. Inadhani Ukraine haina uwezo wa kufanya mashambulizi makali. Sasa wamepoteza hizi helicopters zote kwa sababu ya ujuha wao.Russia ni wajinga sana kumbe. Wanapark helicopter 18 katika airbase ya Kherson huko Ukraine. Wanachosahau ni kwamba Marekani ana sattelites ambazo zinaweza kuzoom vizuri sana na hio intelligence Marekani anaipatia Ukraine. Sasa Ukraine wamefanya mashambulizi na kulipua helicopter zaidi ya sita. OSINTTechnical ameconfirm kwamba tukio hili lilitokea.
Picha ndio hii hapa.
View attachment 2152617
Umeona drainage aje kutoka izo picha? Drainage is good, I was there physically na nikipata muda I'll drive there nikupigie pichaThose landslide protection walls ni walisindika tope n how about drainage system mbona shoddy work? Mbona same Chinese r doing quality work in Tanzania?
Umeongea lugha gani hapo?for the purpose of making a kill with a potential client like you. yani rupurupu ndo manaake, ilimradi mshande ipate afueni.. hehe[emoji38]
The final product ni kilio cha tollCan't wait to see the final product
View attachment 2152503
Drainage is good according to you tembea uone acha kujificha hapo kibera.Umeona drainage aje kutoka izo picha? Drainage is good, I was there physically na nikipata muda I'll drive there nikupigie picha
Says resident wa dar slum 😅Drainage is good according to you tembea uone acha kujificha hapo kibera.
Sijui viongozi wetu wanasubiria nn haya ndio madili ya kusaini fasta
Chungeni msipigwe sanctions. Wacheni Kimbelembele za ujinga wewe Geza. Kumbuka India ni muhimu kwa Marekani kwa hivyo hawawezi kupigwa sanctions virahisi. wao ni uchumi mkubwa na ni marafiki wa Marekani kwa hivyo wanaweza kupewa sanctions exemption kama walivyopewa sanctions exemption ili waweze kununua S-400 SAM kutoka Russia. Nyie na hio nchi yenu masikini punguzeni kiherehere, mtapitwa sanctions mkuwe pariah state kama North Korea. Sio kila kitu unaona India wanafanya udhani kwamba nyie pia mna ubavu huo. Akili kichwani.
Dah hivi GDP hii inawezaje kuthubutu yote haya . Wazee wa GDP mpooo!!!!
Hayawi hayawi
Saudi Arabia mjinga sana. Regime hio ya King na Prince Salman zinapatiwa protection na Marekani. SAM missiles, F16 jets na training ya wanajeshi. Bila protection ya Marekani hio kingdom ingekuwa imekwisha zamani. Wamezungukwa na maadui tukianzia Iran kisha kuna Yemeni Houthis. Pia kuna internal revolution inayoweza kutokea ukizingatia kwamba Saudi Arabia wananyanyasa haki za kibinadamu za wananchi wao.
Hii vita itaisha soon lazima wakae mezani mambo yaishe . Ulaya huko watapata shida ya nishati pia China na India wasipofuata sheria za sanctions. Wenyewe waweka vikwazo watalegea . Fikilia mashabiki wa Chelsea wanaimba jina la abromovich maana wanaona political sanctions zinaua timu yao . Hapa waliopata hasara kubwa ni Ukraine miundombinu mbinu yao mingi imearibiwaChungeni msipigwe sanctions. Wacheni Kimble as ujinga wewe Geza. Kumbuka India ni muhimu kwa Marekani kwa hivyo hawawezi kupigwa sanctions virahisi. Who ni uchumi mkubwa na ni marafiki wa Marekani kwa hivyo wanaweza kupewa sanctions exemption kama walivyopewa sanctions exemption ili waweze kununua S-400 SAM kutoka Russia. Nyie na hio nchi yenu masikini punguzeni kiherehere, mtapitwa sanctions mkubwa pariah state kama North Korea. Sio kila kitu unaona India wanafanya udhani kwamba nyie pia mna ubavu hio. Akili kichwani.
Good but Ilifaa majiji yote makubwa kwa kila Kanda kuwa na arena ,afu hakuna sababu za kuwa na arena zinazofanana.
Hayawi hayawi
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwaHii vita itaisha soon lazima wakae mezani mambo yaishe . Ulaya huko watapata shida ya nishati pia China na India wasipofuata sheria za sanctions. Wenyewe waweka vikwazo watalegea . Fikilia mashabiki wa Chelsea wanaimba jina la abromovich maana wanaona political sanctions zinaua timu yao . Hapa waliopata hasara kubwa ni Ukraine miundombinu mbinu yao mingi imearibiwa