Hata huku Dar pipes kama hizo zinapita nyingi sana kila siku toka bandariGeza Ulole eliakeem sasa hivi hapa Nairobi nimeona trucks mbili kila moja imebeba pipes nne za chuma kubwa sana. Diametre pengine ni half a metre. Hizi pipes nashuku zinakwenda Uganda kwenye mradi wa Tilenga. Kwa bahati mbaya nimesahau kupiga picha. Lakini najua zitapita nyingi tu. Nitazipiga picha nikiziona tena.
Huku MGR inafanya hili!Hata huku Dar pipes kama hizo zinapita nyingi sana kila siku toka bandari
Hahah si wame-confiscate mali za Oligarchs yaani yachts? Sasa Russia inalipa all those Boeings and Airbuses! I hope KQ dreamliners haziko Russia?
Mali nyingi ya Russia iko nje ya Russia na yote imezuiwa so watakata huko juu kwa juu tuuHahah si wame-confiscate mali za Oligarchies yaani yatches? Sasa Russia inalipa all those Boeings and Airbuses! I hope KQ dreamliners haziko Russia?
Tulia uone mchezo! Hebu taja hizo Mali! Unajua kuna ndege ngapi za West zipo Russia?Mali nyingi ya Russia iko nje ya Russia na yote imezuiwa so watakata huko juu kwa juu tuu
Hatuangalii ndege mkuu ila hela ndefu nikimaanisha reserves za RussiaTulia uone mchezo! Hebu taja hizo Mali! Unajua kuna ndege ngapi za West zipo Russia?
Leta evidence! Reserve ya Russia iko nje ya Russia badala ya Hazina yao?Hatuangalii ndege mkuu ila hela ndefu nikimaanisha reserves za Russia
Reserves hukaa kwenye banks ambazo huingiza faida some ndani ya nchi others outside the country.Leta evidence! Reserve ya Russia iko nje ya Russia badala ya Hazina yao?
ahh wapi russia sio mjinga hvo bro hvi vita alisha plan muda mtefu sana na alishajua hzi vikwazo vitakuwepo ndio maana hata viwanda vilivyoathirika urusi amesema vitanunuliwa na serekali ya russiaHatuangalii ndege mkuu ila hela ndefu nikimaanisha reserves za Russia
Russian reserves by countryLeta evidence! Reserve ya Russia iko nje ya Russia badala ya Hazina yao?
Kwa taarifa Yako Russia Alisha eliminate foreign currency zake zote kwenye reserve yake kabla ya vita...Russian reserves by country View attachment 2150310View attachment 2150309
Sura za Njaa Na Ukorasiasa uharo πππ