Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,709
wajenge kwa mapana si kwa marefu! Kiukweli hotels za viwanja vya ndege mara nyingi zinakuwaga fupi hazizidi ghorofa 5!Upande wa pili sioni dalili za kufanya hivyo mradi wenyewe ni wa PPP na ni lazima uhusishe eneo la airport!!!!shida investors wanaangalia Idadi ya vyumba vs jengo lenyewe ukipunguza idadi ya vyumba kwa makadirio yao ya faida ni tatizo! na mpango uliopo ni BOT Build Operate then Transfer! So hata design ya hotel yenyewe inatoka kwa mwekezaji!taasisi za serikali ni kupitia na ku-approve tu.
Tutumie takwimu za 2019 kabla Covid-19 pandemic kutokea. Unataka hio battle ama umekubali kushindwa? Tunaweza anza hio battle kama hukubali kushindwa.Takwimu za mwaka gani hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gdp per capita ina mapungufu yake na mimi sijawahi kupinga hilo ila bado ina umuhimu wake.Sasa mbona bado unaamini ktk GDP.
Ngoja tuone maana eneo lenyewe si kubwa kiivyo walishatangaza tender mara ya pili ile ya kwanza ilibuma!!!!alipatikana mmoja na kuna baadhi ya criteria muhimu hakuambatanisha docs zake japokuwa kwa Tanzania ni mkubwa anatamba kwa mahoteli,mara ya pili walionunua tender docs si wengi sana almost 8 to 10 shida ni kurudisha I mean submission!!! si rahisi hasa kwny miradi mikubwa kama hii wanaorudisha wanakuwa wachache.wajenge kwa mapana si kwa marefu! Kiukweli hotels za viwanja vya ndege mara nyingi zinakuwaga fupi hazizidi ghorofa 5!
Kwani ni lazima liwe ghorofa 8? C hizo ghorofa wapunguze wajenge ghorofa mbili zenye 4storeys each, mbona eneo lile kubwa tu, segerea kuna kaumbali kdg inatakiwa abiria au cabin crew wakitoka kwenye ndege tu wanaingia hotelini mana turn around unakuta ni 40 minutes ss cabin crew itoke segerea mpk JNIA itapelekea kushindwa kwenda. Me nadhani wajenge pale pale lkn wajenge two towers zenye 4 storeys each inawezekana.kama jengo litahatarisha usalama basi design ibadilike au hiyo kampuni iende upande wa Segerea yaani residential uwanja wa ndege wakajenge! Hiyo ndo solution!
Yah iwe hivyo.wajenge kwa mapana si kwa marefu! Kiukweli hotels za viwanja vya ndege mara nyingi zinakuwaga fupi hazizidi ghorofa 5!
Kuna kipindi airport walitaka kujenga rest houses ule ulikuwa bonge la mpango hasa upande wapili wa barabara kuanzia kwny reli kuja juu wangewalipa fidia wakazi wakachukua eneo lote na kumwaga rest houses mwisho ghorofa mbili,Air bnb yaani zingejilipa fasta sana unaweka na kashopping center!!kuna watu hawapendi usumbufu wale wasafiri wa mara kwa mara wangezilipia hata mwaka mzima!!!!Kwani ni lazima liwe ghorofa 8? C hizo ghorofa wapunguze wajenge ghorofa mbili zenye 4storeys each, mbona eneo lile kubwa tu, segerea kuna kaumbali kdg inatakiwa abiria au cabin crew wakitoka kwenye ndege tu wanaingia hotelini mana turn around unakuta ni 40 minutes ss cabin crew itoke segerea mpk JNIA itapelekea kushindwa kwenda. Me nadhani wajenge pale pale lkn wajenge two towers zenye 4 storeys each inawezekana.
Unazimwaga mpk kule banana!!!!hivi sasa ndo vitega uchumi vya Dar es Salaam iliyopendekwezwa na Mh. lately Magufuli mandhari itabadilika na pesa itaingia vile vile kwa wingi.Kuna kipindi airport walitaka kujenga rest houses ule ulikuwa bonge la mpango hasa upande wapili wa barabara kuanzia kwny reli kuja juu wangewalipa fidia wakazi wakachukua eneo lote na kumwaga rest houses mwisho ghorofa mbili,Air bnb yaani zingejilipa fasta sana unaweka na kashopping center!!kuna watu hawapendi usumbufu wale wasafiri wa mara kwa mara wangezilipia hata mwaka mzima!!!!
Nakwambia Africa huwa tinapoteza pesa nyingi sn kama nchi kutokana na wapuuzi wachache kuwa na interest zao ambazo ni vipesa kdg ukilinganisha na pesa ambazo tungeteneza, mavikwazo vikwazo kibao yasiyo kichwa wala miguu, ukiuliza utaambiwa sheria inasema hivyo hata kama sheria yenyewe ni outdated na kwamba inawezekana ikabadilishwa kdg kulingana na mazingira ya ss. Pale JNIA panatakiwa hotel piga ua, watu wanachelewa ndege kizembe kutokana na umbali wanapoishi au walipopanga mana usafiri ni changamoto, but pangekuwa na hotel mbona watu wasingekuwa wanachelewa chelewa hovyo cz watu wanapesa zao akiona kesho nasafiri saa Tisa usiku basi kwakuwa naishi Tegeta ngoja nichukue chumba pale airport kabisa.Kuna kipindi airport walitaka kujenga rest houses ule ulikuwa bonge la mpango hasa upande wapili wa barabara kuanzia kwny reli kuja juu wangewalipa fidia wakazi wachukua eneo lote na kumwaga rest houses,Air bnb yaani zingejilipa fasta sana unaweka na kashopping center!!kuna watu hawapendi usumbufu wale wasafiri wa mara kwa mara wangezilipia hata mwaka mzima!!!!
kwahiyo tu-expose ndege zetu airwing sio? mtu akija na rocket launcher akakaa ghorofa ya nane inakuwaje?Nakwambia Africa huwa tinapoteza pesa nyingi sn kama nchi kutokana na wapuuzi wachache kuwa na interest zao ambazo ni vipesa kdg ukilinganisha na pesa ambazo tungeteneza, mavikwazo vikwazo kibao yasiyo kichwa wala miguu, ukiuliza utaambiwa sheria inasema hivyo hata kama sheria yenyewe ni outdated na kwamba inawezekana ikabadilishwa kdg kulingana na mazingira ya ss. Pale JNIA panatakiwa hotel piga ua, watu wanachelewa ndege kizembe kutokana na umbali wanapoishi au walipopanga mana usafiri ni changamoto, but pangekuwa na hotel mbona watu wasingekuwa wanachelewa chelewa hovyo cz watu wanapesa zao akiona kesho nasafiri saa Tisa usiku basi kwakuwa naishi Tegeta ngoja nichukue chumba pale airport kabisa.
Cha ajabu ni kwamba kuanzia Tazara mpk Gongo la mboto hakuna hotel ya kueleweka, so sad aisee
Nakwambia Africa huwa tinapoteza pesa nyingi sn kama nchi kutokana na wapuuzi wachache kuwa na interest zao ambazo ni vipesa kdg ukilinganisha na pesa ambazo tungeteneza, mavikwazo vikwazo kibao yasiyo kichwa wala miguu, ukiuliza utaambiwa sheria inasema hivyo hata kama sheria yenyewe ni outdated na kwamba inawezekana ikabadilishwa kdg kulingana na mazingira ya ss. Pale JNIA panatakiwa hotel piga ua, watu wanachelewa ndege kizembe kutokana na umbali wanapoishi au walipopanga mana usafiri ni changamoto, but pangekuwa na hotel mbona watu wasingekuwa wanachelewa chelewa hovyo cz watu wanapesa zao akiona kesho nasafiri saa Tisa usiku basi kwakuwa naishi Tegeta ngoja nichukue chumba pale airport kabisa.
Cha ajabu ni kwamba kuanzia Tazara mpk Gongo la mboto hakuna hotel ya kueleweka, so sad aisee
Sio lazima zijengwe za ghorofa 8 kama nilivyosema, hotel zinahitajika ku save abiria JNIA.kwahiyo tu-expose ndege zetu airwing sio? mtu akija na rocket launcher akakaa ghorofa ya nane inakuwaje?
Anachosema The best 007 ni kweli. Mnahitaji bonge la hotel karibu na airport. Sie tuna Four points by Sheraton hapo karibu na JKIA. Aiseeh jifunzeni kutoka kwa ndugu zenu wakubwa.Sio lazima zijengwe za ghorofa 8 kama nilivyosema, hotel zinahitajika ku save abiria JNIA.
Sio dunia ya tech ya leo watu wakiamua wanaprogram drones kokote uliko inakutandika na inarudi ilikotoka!pia huwezi ingia ndani ya hotel bila kukaguliwa ni uwoga wakishamba tu!!! Hotel pale ni muhimu!sema hivi vitu vinagusa interest za watu pia!!!!ikishajengwa hii hotel usitegemee ndege nyingi cabinet crew wao kulala mbali that means kuna wadau watapoteza biashara ambayo ni ya uhakika kwa sasa.kwahiyo tu-expose ndege zetu airwing sio? mtu akija na rocket launcher akakaa ghorofa ya nane inakuwaje?
Yani Geza ulole anaishi dunia ya zamani sn, kunahitajika hotel JNIA, ni jambo la ajabu sana uwanja wa kisasa kama ule unakosa hotel ya kisasa kwa mawazo ya kulipuliwa.Sio dunia ya tech ya leo watu wakiamua wanaprogram drones kokote uliko inakutandika na inarudi ilikotoka!pia huwezi ingia ndani ya hotel bila kukaguliwa ni uwoga wakishamba tu!!! Hotel pale ni muhimu!sema hivi vitu vinagusa interest za watu pia!!!!ikishajengwa hii hotel usitegemee ndege nyingi cabinet crew wao kulala mbali that means kuna wadau watapoteza biashara ambayo ni ya uhakika kwa sasa.
yes ila height restriction ina maana yake! baba si kila kitu ubishi! Hata nyumba zinazozunguka White House DC zina height restriction based on the radius!Sio dunia ya tech ya leo watu wakiamua wanaprogram drones kokote uliko inakutandika na inarudi ilikotoka!pia huwezi ingia ndani ya hotel bila kukaguliwa ni uwoga wakishamba tu!!! Hotel pale ni muhimu!sema hivi vitu vinagusa interest za watu pia!!!!ikishajengwa hii hotel usitegemee ndege nyingi cabinet crew wao kulala mbali that means kuna wadau watapoteza biashara ambayo ni ya uhakika kwa sasa.