Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa bro mtu kasoma mpaka form 4 (kama kafika) hiyo akili atatolea wapi, yeye anafurahia kuwa na duka la nguo kuliko kuwa na kiwanda 😂😂 asa huyo si chizi kabisa
 

Kwa akili yake fupi huyo kondoo anadhani Watanzania hawavai hizo jeans. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Spare me your lecture, for your sake nitasema kwa kiswahili ya kwamba pia sisi tuko na kiwanda cha kutengeneza Levi Strauss kama ulivyo ona kwa picha nilizotuma hapo mbeleni



Alafu ishu hata haikuwa ya viwanda in the first place. Nilikuwa nikiuliza kama huwa mnasema wakenya hawana pesa, nani huwa ananunua hizo executive jeans za pesa nyingi hivyo?? Some Levi's huanza kwa shilingi 4,500 mpaka 200,000 za Kenya!
Hata ni aibu kujua kwa mko na kiwanada ila zote zinauzwa ngambo hakuna local consumption hata kidogo.
 
We jamaa mshamba kweli, sasa cha ajabu kipi? Kwani mtanzania akitaka hiyo brand hapati Tanzania? Reasoning zenu ziko so village yaani ni kama mmegundua smartphone leo
What has a smartphone got to do with Levi's ?
 
Wewe matako Watanzania ndio wa kwanza kumiliki numbers of LC 300 series ukanda wote huu, washindwe kuvaa shit Jeans? Hivi hata tukiamua kuweka battle ya fashion kati ya Tanzania na kunyaland mtatoka? 🤣🤣🤣🤣
 
Si ndio kama hapa naona umepiga Levi's [emoji158][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe matako Watanzania ndio wa kwanza kumiliki numbers of LC 300 series ukanda wote huu, washindwe kuvaa shit Jeans? Hivi hata tukiamua kuweka battle ya fashion kati ya Tanzania na kunyaland mtatoka? 🤣🤣🤣🤣
Here's another one with the classy Tanzanian behavior, matusi tu wakiskia uchungu...lia kwanza🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…