Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Me natumai tu magufuli yuko jehanamu anaungua kwa sulphur sababu ya kukataza kiupuzi watoto wajawazito wasisome
 
What you gave us is the boundary area, not the built up area. Satelitte images zinaonyesha built up area ya Nairobi ni kubwa. Dar kukosa pori ni due to poor planning, sio kitu cha kusherehekea.
Wacha kulazimisha fikra zako za kipuuzi wewe punguani, built up area DSM ni 3× larger than Nairobi, ndio kuna uplaned settlements nyingi lakini hiyo haibadilishi maana ya kwamba eneo la jiji la DSM lililojengwa ni 1500km2.. satellites ndio zitabadilisha ukweli au.? 😂😂, Dar iko na green spaces nyingi tu ila sio mapori kama NAIROBI, mji unatakiwa kuwa na green spaces sio misitu kama uko kwenu
 
Mwambie kuanzia Posta hadi Mapinga ambao ni mpaka wa Dar na Mkoa wa Pwani, Bagamoyo hakuna gap ni jengo baada ya jengo. Pia mwambie kuanzia Posta hadi Kibaha ambao ni mkoa wa Pwani tena hakuna gap, ni jengo baada ya jengo. Vile vile kutoka Posta hadi Kongowe,Mwandege huko ambapo unaingia tena mkoa wa Pwani hakuna gap!
 
Huku kwetu huwa inaanguka tanker ya petrol watu wanachota mafuta na ndoo mpaka atokee genius mmoja achomoe betri!
no sooner does he touch tht battery, than the rest is history.. 💥💥💥💥🔥🔥🔥
 
Hizo ni eneo za Dar, za Nairobi unazijua?
 
a321xlr would have been a much better choice range wise,seating capacity and almost the same price ya hii 737 max 9
Yap ..i was saying this all over skyscrapper ukizingatia tuna Airbus A220 tayari mm nilitaka xlr ...looks like ni deal la marekani..usione grants and loans..etc hayo yanatokana ma kumake deals kama hizi ..politics everywhere man
 
Nimeshindwa hata nimjibu nini.
 
Bro.....don't waste so much of your energy on these tanganyika nincompoops.....they are as dumb as sheep and explaining anything to them is a dead end.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…