new york siyo nairobiDar is almost twice the size of Newyork but that does not translate to development,unaeza kua na shamba kubwa na ukashindwa kuiendeleza..uku mwenzako ako na hio ndogo na amejiendeleza..
kwa ukubwa gani konza city 🤣🤣🤣 wakat hata 1% of the render bado mumebakia na mapori kila konaNairobi's proper built-up area is bigger than Dar-is-a-slum Region. Hapa hakuna akina Konza city, Ngelani city, Muranga countyetc..View attachment 2144376
Max Mbona zisharudi boss na wala si kimya kimya Flyduabi , Turkish zote zinamiezi sasa zinatumia Max ..Politics is a bad game ni unafki mwingi sana..ndo maana mambo hayo hutokeaMax zimmerudi kimya kimya! Wale wale waliokuwa wanamponda bwana Yule kununua ndege leo wanashangilia ndege zikinunuliwa na mama Yule!
Precisely why their explanation doesn't make sense based on the satellite imagesDar is not twice the size of Nairobi lol. The built of area of Nairobi is way bigger than Dar. Achana na Hawa delusional people.
Hahaha.Huku kwetu huwa inaanguka tanker ya petrol watu wanachota mafuta na ndoo mpaka atokee genius mmoja achomoe betri!
Sasa hivi habari zinazotangazwa hazina ukweli kwani zinabase upande mmoja wa magharibi,Russia hatuzipati taarifa zake ni uzandiki.Russia anapigwa kama mburukenge. Hizi ni tankers saba za mafuta zimepigwa kombora na Waukraine.
unacheka nn kwani tankers hazianguki na kuwaka moto na watu kuchomeka huko Kunyaland?Hahaha.
Mi nangoja mpambano wa kuanzia J3 tuone nani mwanaume!Sasa hivi habari zinazotangazwa hazina ukweli kwani zinabase upande mmoja wa magharibi,Russia hatuzipati taarifa zake ni uzandiki.
😂😂 Ukiskia City area wewe kinakujia kitu gani kichwani mwako.?Kawaida umejibu kama mburula. Mtu hafikirii. Nilikua nataka uelewe ukubwa wa mji ni built up area, sio area within boundaries maanake boundaries ni vitu za kuchorwa na boundary ya mji haibadiliki bali built up area inaongezeka kila siku. Tukisema ukubwa wa mji ni boundary basi mji wa Naivasha utakuwa mkubwa kwa mji wa Dar maanake Naivasha una area ya 1600 sq km wakati Dar ni 1500 sq.km.
Unataka kuijua Dar kupitia picha tu 😂😂😂 toka porini uko pungu wewePrecisely why their explanation doesn't make sense based on the satellite images
Kweli hamnazo hamjengi kwa matatizo ya Kenya mnaijengea African ,malizeni ukabila kwanza ndio muitafute Africa.Reuters mzee..
American Moderna. corona vaccine manufacturing plant to be built in kenya. the only vaccination facility in africa
View attachment 2142486
unacheka nn kwani tankers hazianguki na kuwaka moto na watu kuchomeka huko Kunyaland?
What you gave us is the boundary area, not the built up area. Satelitte images zinaonyesha built up area ya Nairobi ni kubwa. Dar kukosa pori ni due to poor planning, sio kitu cha kusherehekea.😂😂 Ukiskia City area wewe kinakujia kitu gani kichwani mwako.?
Dar imejengwa mpaka kuna baadhi ya maeneo ya mkoa wa pwani (mkoa jirani) yamepakana na jiji, hiyo 1500km2 ni nyumba tu mzee wangu, yani DSM is ful of buildings, nikisema DSM hakuna pori I mean it bruh
tell him nairobi is its city proper+the metropolitan area. dont forget to tell him boundaries, are just but 'imaginary line'.! lol.What you gave us is the boundary area, not the built up area. Satelitte images zinaonyesha built up area ya Nairobi ni kubwa. Dar kukosa pori ni due to poor planning, sio kitu cha kusherehekea.
a321xlr would have been a much better choice range wise,seating capacity and almost the same price ya hii 737 max 9GOT ina invest sana kwenye Air Tz ..Management inabidi iwe seeious
Max 9 2 zitakuwa zinapiga Miji ya middle east, India, some european cities like istanbul , na West Africa
View attachment 2144338
Dar is bigger than Near YorkWhat you gave us is the boundary area, not the built up area. Satelitte images zinaonyesha built up area ya Nairobi ni kubwa. Dar kukosa pori ni due to poor planning, sio kitu cha kusherehekea.