The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Sisi pia hatuwezi kushindana na nyinyi mana tumewaacha mbali mno kuanzia public transportation e.g BRT, modern bridges, modern bus terminals, Modern electrified SGR, food security etc nyie mmebaki kupiga kelele na xpress way ya mchina, msilazimishe tufanane.KUNA FLY OVER UGANDA UNDER CONSTRUCTION..IKIKAMILIKA ITAKUWA SMART KULIKO UBUNGO...NDIO MAANA HUWA NAJIULIZA ...MBONA WA TZ WASINSHINDANE NA UGANDA NA RWANDA WHO ARE THEIR PEERS IN MATTERS DEVELOPEMENT WAACHANE NA SISI TUSHINDANE NA NIGERIA EGYPT AND SAUZ AFRICA
Mmeona wakunya akili zao? Huyu ss bado hajafika post za chini so hajaona kichapo ilichopewa ka Nairobi, ila hizo ndiyo akili zake, wakunya wote wako hivyo, wana elimu mbovu sn inayowaharibu ubongo tangu wakiwa watoto, mkunya huwezi kuishi naye kikawaida ni wana nongwa sn hawa mbwa,na hyo yote ni sababu ya mfumo wao mbovu wa elimu pamoja na maadili mabovu ya kuhisi wanaonewa ktk kila kitu, hii yote inasababishwa pia na njaa.Durban ni ndogo Sana kulinganisha na Nairobi. Kwani Baba levo hakuwaambia Nairobi ni kama New York.
Apo naona unlmekosea tuusan, hali mbya iko kenya sio Tz, sababuHivi tony ww unaweza survive na $1800 kwa mwaka mzima?hela kiduchu namna iyo unaishije? Kenya is poor as tz ila hali ni mbaya zaidi tz
Ongea kichumi sio kibenki, Russia ni tajiri kwa badhi ya nchi zilizo kwenye list, lakin as far as individul wealth warusi wanapigwa sabab ya population yaoSo what? UK na Japan zina gdp per capita ya $40,000 so what? Hio haibadilishi argument kwamba Russia ni masikini ukiilinganisha na hizo nchi za magharibi.
You can't get that density around GTC in Dar is slum.That skyline [emoji7]View attachment 2144147
watu wa njaa!Hahaha. Lorry ya mchele imeanguka. Kila mtu anajibebea gunia ya mchele.
na mulivokua na njaa sasa 😂😂😂😂Hahaha. Lorry ya mchele imeanguka. Kila mtu anajibebea gunia ya mchele.
Mimi binafsi nimesoma shule za umma kuanzia chekechea hadi chuo kikuu na ninaweza kusoma, kuandika na ninaongea kiingereza kwa ufasaha kabisa. Na wapo wengi tu tz wa namna hiyo. Hivyo usidhani kwamba kujua kiingereza lazima mtu asome english medium schools.Sikujua kwamba kiingereza chako ni kikali namna hiyo. Itakuwa wewe ulisomea zile shule private hapo Dar, hukusomea shule za serika
Kichapo mpaka hujui utatokaje 😅 pole next time kuwa na heshima na Big boys..Let me ask you a simple question and I hope you answer like someone with a brain.
Dar es Salaam was 1500sq.km in 1960, it is still 1500sq.km in 2022. Can we say Dar es Salaam has not grown in size since 1960?
Dar is almost twice the size of Newyork but that does not translate to development,unaeza kua na shamba kubwa na ukashindwa kuiendeleza..uku mwenzako ako na hio ndogo na amejiendeleza..Kichapo mpaka hujui utatokaje 😅 pole next time kuwa na heshima na Big boys..
Sasa hata nikikujibu hili ndio utapata faida gani.?😅.. Dar will still remain the EA's big boy .. by the way nimeamua kuku ignore
Kawaida umejibu kama mburula. Mtu hafikirii. Nilikua nataka uelewe ukubwa wa mji ni built up area, sio area within boundaries maanake boundaries ni vitu za kuchorwa na boundary ya mji haibadiliki bali built up area inaongezeka kila siku. Tukisema ukubwa wa mji ni boundary basi mji wa Naivasha utakuwa mkubwa kwa mji wa Dar maanake Naivasha una area ya 1600 sq km wakati Dar ni 1500 sq.km.Kichapo mpaka hujui utatokaje 😅 pole next time kuwa na heshima na Big boys..
Sasa hata nikikujibu hili ndio utapata faida gani.?😅.. Dar will still remain the EA's big boy .. by the way nimeamua kuku ignore
Huku kwetu huwa inaanguka tanker ya petrol watu wanachota mafuta na ndoo mpaka atokee genius mmoja achomoe betri!Hahaha. Lorry ya mchele imeanguka. Kila mtu anajibebea gunia ya mchele.
Max zimmerudi kimya kimya! Wale wale waliokuwa wanamponda bwana Yule kununua ndege leo wanashangilia ndege zikinunuliwa na mama Yule!GOT ina invest sana kwenye Air Tz ..Management inabidi iwe seeious
Max 9 2 zitakuwa zinapiga Miji ya middle east, India, some european cities like istanbul , na West Africa
View attachment 2144338
....Two worlds in one picture
View attachment 2144041
View attachment 2144042
View attachment 2144043
View attachment 2144044
ana mawazo finyu sana huyo jamaa,Mimi binafsi nimesoma shule za umma kuanzia chekechea hadi chuo kikuu na ninaweza kusoma, kuandika na ninaongea kiingereza kwa ufasaha kabisa. Na wapo wengi tu tz wa namna hiyo. Hivyo usidhani kwamba kujua kiingereza lazima mtu asome english medium schools.