Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umenunua ugomvi...sasa tell me nguvu ya kutoa Russia takataka ameitoa wapi?ilo neno takataka ndio limenifanya nimzarau
 
Hii Russia imeinvest kwa jeshi na wananchi wake Ni maskini!
Yaani ata Ukraine Poland wananchi wao wako na higher per capita kuwashinda!
They needd to invest more nje ya military,
Russia bado ni masikini. Hawa wajinga hawaelewi mambo ya uchumi vizuri. Russia Gdp per capita yake ni around $10,000 wakati Gdp per capita ya Marekani ni zaidi ya $50,000 na bado wanataka kusema eti Russia ni developed country. Halafu hizi sanctions zitaifanya Russia iwe masikini zaidi. Saa hii Ruble imekosa thamani kabisa na kadri thamani ya sarafu dhidi ya dollar inavyozidi kushuka ndio pia Gdp norminal inavyozidi kushuka.
 
Hii Russia imeinvest kwa jeshi na wananchi wake Ni maskini!
Yaani ata Ukraine Poland wananchi wao wako na higher per capita kuwashinda!
They needd to invest more nje ya military,
surely bruh, yani ata mimi sijawai ona anything written "Made In Russia" apart from the AK47 Riffle.! yani akili yao yote, na nguvu yao yote ni vita vita nothing but vita...🚀🚢🛩💣💥🚁🛳
 
Tony wacha kuchekesha watu, kwamba nchi namba 11 duniani with GDP of 1.4 trillion (It will take you 100 years to reach where they are right now) and GDP per capita of $10,000 na ni millitary super power of the world, unaiita ni nchi maskini .? Are you crazy or something.? Okay tuambie hizo developed countries ni zipi sasa za ulaya..?
 
Sometimes unasoma kitu hadi unashangaa, eti mkenya anaibeza China au Russia!
 
Wewe unaweza kulinganisha gdp per capita ya $10,000 na gdp per capita ya zaidi ya 50,000 ya nchi hizi?
1. Canada
2. Japan.
3. Australia
4. UK
5. France.
6. Belgium
7. Germany
8. USA

Hizi nchi zote zina gdp per capita ya $50,000 au zaidi.
 
Wewe inaweza kulinganisha gdp per capita ya $10,000 na gdp per capita ya zaidi ya 50,000 ya nchi hizi?
1. Canada
2. Japan.
3. Australia
4. UK
5. France.
6. Belgium
7. Germany
8. USA

Hizi nchi zote zina gdp per capita ya $50,000 at zaidi.
As of 2020 china GDP per capita was 10,500, does that mean all them countries you have mentioned ar richer than china or even close.?
 
Unajua watu wasiojua mambo yanaendaje duniani wanakuwa watu wa kukariri na wajinga sana! Juzi SWIFT imefungia Russia, unajua UnionPay wamekomba nyomi la ukubwa kiasi gani? Huu mgogoro utasambaratisha EU kitu ambacho the US na kuwadi wake UK wanataka! Naona Ujerumani wameanza kuiona hatari inayokuja!
 
As of 2020 china GDP per capita was 10,500, does that mean all them countries you have mentioned ar richer than china or even close.?
Boss neno rich ina maana tofauti tofauti. Kama "rich" unamaanisha rich per capita "yaani utajiri wa mtu mmoja mmoja then yes Mbelgiji mmoja ni tajiri kushinda Mrusi mmoja.
 
Hawa watu ni wa ajabu sana ikiwa kwao wanasema GDP ni kipimo cha uchumi mkubwa kwahiyo wao ni matajiri sasa Russia GDP yake kubwa na ni GDP ya 11 duniani lakini wanawaita masikini dah sio double standard sasa. Tuchukue lipi? Au ndio ule msemo wa maneno kumi ya nyangau chukua moja utembee?
 
Boss neno rich ina maana tofauti tofauti. Kama "rich" unamaanisha rich per capita "yaani utajiri wa mtu mmoja mmoja then yes Mbelgiji mmoja ni tajiri kushinda Mrusi mmoja.
Bablai go east go west ila Russia ni zaidi ya hivyo vinchi umetaja hapo, ni US pekee ndio at least inauwezo wa kusemezana na Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…