Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣 Usijaribu kuficha aibu, escalator ni kitu cha kawaida sana, si ni juzi juzi Tu, mlikua mnafanya uzinduzi rasmi wa lift ya Kwanza kwenye jengo


Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Inaonekana mko na kaushamba flani na hivi vitu 🤫
 
1russian ruble=1.08 kenya shillings💩
Sisi tunaenda na NATO👌go f**k in Russia
Akili zako zipo matakoni, unawaza na ****** wewe😂😂😂 Kwahiyo pesa yenu kuwa na thamani kuliko pesa ya Russia ndio itawawezesha kutoomba misaada ya chakula kutoka Dubai.? na atie pua US na hao NATO waone kinachowatokea, wamefyata mikia yao huku UKRAINE anakula dozi tu ..
 
Ni China na Tanzania tu ndio imepewa hii privilege, hata wachina waliambiwa wakitaka kutoka wanyooshe bendera ya China
 
Acha ujinga wewe tulianza kuishi vizur na Russia kitambo tu hata Putin alishawahi kufika Bongo 👇View attachment 2140117hizo suction tungepigwa kitambo tu, kwani unafkiri hizi maneno ni za juzi tu.?
Hii picha ishaduduliwa kua uongo, na katika kupigania ukombozi wa Africa hakuna nchi ilipewa sanction, kwahivyo usilete Mambo ya zamani hapa kama mifano....
Nyinyi si ni marafiki na Iran, mbona hamjawahi kutubuthu kununua mafuta ya Iran ili kusaidia uchumi wao? Mbona hamuagizii vifaa kutoka North Korea?
Sasa nakwambia, enda uambie mama aaigizie vifaa kutoka Russia ama awauzie Russia chochote sahii uone kama vitafika
 
Na ndio maana nilikuuliza kwamba unaelewa kiswahili .? Tunataka kuona escalators kwenye bus terminals za Kenya ile ultra modern state of art bus terminus.. au hakuna.?
 
Shida za ugaidi ziko kwa akili yako wewe binafsi... Hata serikali yako haikubaliani nawe wakaona wawekeze pesa humu nchini...everyone would want to have a share of this cake so sit down kula wivu polepole..who would invest in a place they know is risky?? Besides hio project imestall kuanzia 2014 anyway, Nssf is broke
 
Kaa kwa kutulia huna ujualo
 
Ni Rahisi sana kudanyanya watanzania, Russia na Ukraine wameelewana kwamba kutatengenezaa safe humanitarian corridors ili civilians waeze kuepuka vita na waende nchi yoyote jirani... Watanzania washajitengezea propaganda kana kwamba hii privilege wamelewa wao pekee...

 
Nssf is broke? Acha hizo wewe. Policy za Magu ziliogopesha watu kufanya miradi kama hio. Hamna uwekezaji wala nini ujenzi huo ni mchongo tu wa kupiga hela.
 
Ishu sio tu maelewano ya Russia na UKRAINE kuweka safe corridor ili kuwapisha raia watoke ndio vita yao iendelee lahasha, ni kwamba Watanzania wameruhusiwa kutoka UKRAINE kuelekea Russia tena kwa escort ya kijeshi, yani jeshi la Urusi litawabeba wabongo kuwapeleka Belgorod ..! Unajua kusoma kiswahili.? Soma hii barua kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Russia , watanzania wanatakiwa waonyeshe bendera yao tu wabebwe na jeshi la Urusi kutoka UKRAINE hadi Urusi ..show up some respects to us .
 
Kaa kwa kutulia huna ujualo
Putin ana miaka 69.... 1973 Putin alikua na miaka 20, Kabla hata muendelee, Kijana WA miaka 20 Hana ujuzi wowote kufundisha wanajeshi kupigania ukombozi wa Africa kutoka Kwa wakoloni..

Putin wakati huo alikua mwanafunzi Kwa chuo kikuu akisomea shahada ya Law... Aligraduate Mwaka wa 1975.. Baada ya ku graduate hapo ndo alijiunga na KGB kama low level officer.. Hii ni historia yake.. Lakini kwavile akili ya Mtz imeshazoea kulishwa propaganda za ki communist utabaki ukishindana siku nzima
 
Ila manyang'au wengine mtajua wenyewe mtatoka vipi, hii ni special treatment kwa swahiba tu, yani mpaka Sasahiv ni sisi na wenzetu China tu ndio tunatambulika na kupewa heshima tunayostahili 😂.. nyie wengine kama mtakufa sawa, kama mtaota mbawa mupae pia sawa 😂😂😂 unaskia wewe Kafrican
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…