Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio, escalators kuzikuta kwenye office buildings, hotels, malls and airports or even in railway stations ni vitu vya kawaida, but sio kawaida kabisa kukutana na escalators kwenye bus terminals hususan hapa EA, na ni ukweli kwamba ni kwenye bus terminals za Tanzania tu ndio unaweza kukutana na escalators.. sasa ulitakiwa utu prove wrong by showing us them escalators in your so called ultra modern state of art bus terminus in Nairobi ..

Haya twende kazi 😂😂😂
 

Ati Ultra modern state of art bus terminus! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
umeme umekatika upande wa pili!
 
B!tch please...
Carry on satisfying your ego, won't change a thing.
 
NATO's tail between the legs!



Tony254 do u get the sense now why Tanzania decided to abstain voting in favor of any of the sides of the Ukraine crisis? What is Russia Federation inaamua kuwachapa? do u think NATO itakuja kuwa-rescue?
Jamaa Wana kimbelele sana hawa, wataangukia pua.. ona faida tunazopata sisi kwa kuchagua kuwa smart na sio viherehere. Watoto wetu 150 waliokwama uko kwenye mji wa Sumy UKRAINE wameruhusiwa kuvuka kuelekea Russia, na serikali ya Russia imeahidi kuwapatia escort ya kijeshi mpaka watakapofika RUSSIA kwenye mji wa Belgorod tayari kwa hatua zingine za kuwaridisha nyumbani kufuatwa 👇haya bwana Tony uje Hapa Tony254 ujifunze kuwa sisi ni taifa la watu wenye akili timamu zaidi hapa EA, hatufuati mikumbo, we know what we want.. endeleeni kuwaramba miguu mabeberu watoto wenu watakoma uko Ukraine kwa vichapo vya mrusi 😂😂😂 na ubaguzi wa rangi juu, watajua hawajui 😂😂
 
Ukisema Modern unamaanisha nini?Ngojea uwanja umalizwe..
 
Marekani tayari ilishapiga sanction Russia... Yani hakuna nchi kufanya biashara na Urusi (ikiwemo Tanzania) so hapo tayari ilikua hatuezi kufanya biashara na Urusi (not unless tunataka kupigwa sanction)
aliyekuambia kuwa Tz haitofanya biashara na Russia ni nani?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kufanya biashara na Russia sahii uone kama uchumi wenu hamtauokota 1963
aliyekuambia kuwa hatufanyia nao biashara ni nani...?
na umejuaje kuwa hatufanyi nao biashara kwa sasa?,,unaweza kututhibitishia kwa kithitisho chochote yakinifu kinachoonyesha kuwa hatufanyi nao biashara kwa sasa?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…