Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania ni wajinga. Mngelamba miguu za Wazungu na kukemea Russia ili wazungu waje wawekeze kwenye gas yenu. Wazungu wanataka kuwacha kutegemea gas ya Russia na wanatafuta mahali pa kuwekeza. Nyie mngewacha akili za ujamaa za kusupport Russia na muweke biashara mbele sasa hivi mngekuwa mbali.
fikra potofu sana hizo,hao wazungu unaotaka walambwe walikaa Tz na nchi nyinginezo za kiafrika lakini ni kipi walichokifanya....? zaidi ya kufuja mali na kutuachia nchi ikiwa local

Nyie endeleeni kuwalamba ila jua kwa mtoto wa kiume si kila kitu kinalambwe vingine havilambiki ,usipokuwa makini unaaweza kujikuta unalamba uume wa mwanaume mwenzako,dalili mbaya sana hiyo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mzee hayo mambo ya kuwalamba wazungu miguu imewafikisha wapi Nigeria Ndio nchi Maskini duniani ila ina mafuta ww angalia nchi ambazo zinazalisha mafuta za kiarabu zilivyoendelea
Nigeria tatizo lao ni corruption. Nyie hamna corruption kubwa kama yao. Bila shaka pesa yenu ya gesi itatumika vizuri kushinda ya Nigeria ambayo nyingi inapotea kupitia corruption.
 
Wacha uongo. Mbona ujenzi wa Lng plant haujaanza hapo Tanzania? Kama mngelamba Miguu za mabeberu basi wangekuwa wameshamaliza kujenga Lng plant kwa maana ujenzi ungeanza mwaka wa 2017 na sasa hivi 2022 mngekuwa mnafaidika pakubwa. Shida mnapenda ubishi na kujipiga kifua. Kwa sasa bei ya gas inapanda na itazidi kupanda kadri wazungu wanavyoendelea kususia kutumia gas ya Russia. Wekeni kiburi kando na mfungue milango yenu kwa wazungu. Hata msiwatoze kodi kwanza, wacheni wajenge kwanza ndio muanze kuwatoza kodi. Nyie mna security na amani sio kama Mozambique ambao wanapigwa na magaidi kila siku. Tatizo lenu ni kiburi na kichwa ngumu. Changamkieni fursa hii, Germany amesema atawacha kununua gas kutoka Russia baada ya miaka miwili na ameshaanza kujenga two lng terminals ya kuimport gas kutoka nchi zingine. Hizi lng terminals zitakapokamilika basi Germany ataanza kununua gas kutoka nchi nyingine na atawacha kutegemea gas ya Russia. Hii imesemwa na Chancellor wa Germany Olaf Scholz.

Wekeni ujamaa kando muwe capitalists kama sisi nyang'au ambao tunachamgamkia fursa zote.
umeongea maneno mengi ila nikikuuliza tatizo letu lipo wapi mpaka ukaandika yote hayo utaanza kutoa maelezo yasiyo eleweka,

labda ni kuulize tatizo letu ni lipi na kiburi chetu ni kipi?

Tz huwa tunafanya kiburi ambapo tunafanyiwa kiburi yaani pasipo na haki lazima tupingane na wewe na ukitufanyia uungwana nasi tunakufanyia uungwana tutaishi nawe vyem,huwa hatufanyi kiburi au kichwa ngumu pasipo na sababu ya msingi.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wewe huwa unajielewa sana Geza Ulole uko na strategic mindset na unaelewa kwamba mambo ya biashara haitaki hasira wala chuki wala ubabe. Marekani anaimport mafuta kutoka Russia japo Marekani bado anawekea Russia sanctions. Biashara haitaki kuwekwa siasa ndani. Nchi adui pia huwa zinafanya biashara japo zinachukiana. Mimi naona Magu alikosea kukataa kuafikiana na mabeberu waliotaka kuinvest kwa Lng plant hapo awali. Naona mngepunguza expectations zenu kidogo. Mama naona ni mtu mnyenyekevu na very strategic minded na ataafikiana na mabeberu hivi karibuni. Ni vizuri nchi za East Afrika pia ziendelee kiuchumi. Uganda iwe oil capital of East Africa, Tanzania iwe gas capital of East Africa na Kenya iwe banking and services capital of East Africa. Natakia East Africa mema na naona mama hana kiburi sana kwa hivyo sina shaka contract itatiwa saini soon. Sasa mabeberu wanatoroka Russia na wanatafuta mahali mpya pa kutoa gas yao. Huu sio muda wa kujipiga kifua. Chukueni offer iliyo kwenye table.
Katika rais ambaye alikua akisisitiza kuharakisha ujenzi wa kiwanda cha LNG huko Mtwara ni Magufuli, ni yeye ndiye aliyetia Saini ya kutoa ardhi ya zaidi ya ukubwa wa hectares 3000 kwa wawekezaji, ardhi hii ilikua ikimilikiwa na vijiji.

Magufuli kila mara katika hotuba zake alikua akilaumu kwa ucheleweshwaji wa mazungumzo kufikia ujenzi wa hiki kiwanda, tatizo letu mlimchukia kwasababu aliwabana wakenya na kuizidi Kenya katika Mambo mengi ya maendeleo.

Huku kujipendekeza kwa Geza Ulole kunachekesha, kwasababu alikuwekea hiyo screenshot ili kujibu ule upuuzi wako wa kusema kwamba inabidi tujipendekeze kwa wazungu ili waweze kujenga hicho kiwanda, yeye alitaka kukuonyesha kwamba, sisi hatujipendekezi na bado kiwanda kinaendelea kujengwa Kama kawaida
 
Katika rais ambaye alikua akisisitiza kuharakisha ujenzi wa kiwanda cha LNG huko Mtwara ni Magufuli, ni yeye ndiye aliyetia Saini ya kutoa ardhi ya zaidi ya ukubwa wa hectares 3000 kwa wawekezaji, ardhi hii ilikua ikimilikiwa na vijiji.

Magufuli kila mara katika hotuba zake alikua akilaumu kwa uvheleweshwaji wa mazungumzo kufikia ujenzi wa hiki kiwanda, tatizo letu mlimchukia kwasababu aliwabana wakenya na kuizidi Kenya katika Mambo mengi ya maendeleo.

Huku kujipendekeza kwa Geza Ulole kunachekesha, kwasababu alikuwekea hiyo screenshot ili kujibu ule upuuzi wako wa kusema kwamba inabidi tujipendekeze kwa wazungu ili waweze kujenga hicho kiwanda, yeye alitaka kukuonyesha kwamba, sisi hatujipendekezi na bado kiwanda kinaendelea kujengwa Kama kawaida
Haya basi bakini na umasikini wenu.
 
Wacha uongo. Mbona ujenzi wa Lng plant haujaanza hapo Tanzania? Kama mngelamba Miguu za mabeberu basi wangekuwa wameshamaliza kujenga Lng plant kwa maana ujenzi ungeanza mwaka wa 2017 na sasa hivi 2022 mngekuwa mnafaidika pakubwa. Shida mnapenda ubishi na kujipiga kifua. Kwa sasa bei ya gas inapanda na itazidi kupanda kadri wazungu wanavyoendelea kususia kutumia gas ya Russia. Wekeni kiburi kando na mfungue milango yenu kwa wazungu. Hata msiwatoze kodi kwanza, wacheni wajenge kwanza ndio muanze kuwatoza kodi. Nyie mna security na amani sio kama Mozambique ambao wanapigwa na magaidi kila siku. Tatizo lenu ni kiburi na kichwa ngumu. Changamkieni fursa hii, Germany amesema atawacha kununua gas kutoka Russia baada ya miaka miwili na ameshaanza kujenga two lng terminals ya kuimport gas kutoka nchi zingine. Hizi lng terminals zitakapokamilika basi Germany ataanza kununua gas kutoka nchi nyingine na atawacha kutegemea gas ya Russia. Hii imesemwa na Chancellor wa Germany Olaf Scholz.

Wekeni ujamaa kando muwe capitalists kama sisi nyang'au ambao tunachamgamkia fursa zote.
Hahahahaaaaa ila Tony ni chizz wew jamaa. Yaani unajiita nyang'au kabiisaa hahahaaaa
 
Nigeria tatizo lao ni corruption. Nyie hamna corruption kubwa kama yao. Bila shaka pesa yenu ya gesi itatumika vizuri kushinda ya Nigeria ambayo nyingi inapotea kupitia corruption.
Yah Ndio mradi wetu unachelewa hutuwezi kukurupuka na kusaini mkataba mbovu ambao hautatunufaisha kisa kuwafurahisha wazungu
 
🌤️🌤️🌤️NBO Weather Showing Off
download (4).jpeg
download (3).jpeg
download (2).jpeg
download (1).jpeg
download.jpeg
 
Hahahahaaaaa ila Tony ni chizz wew jamaa. Yaani unajiita nyang'au kabiisaa hahahaaaa
Sisi ni nyang'au huwa tunapenda pesa na biashara. Ndio maana nawashang'aa nyie kutupa fursa hii ya gesi. Sielewi kwa nini mlikataa kuafikiana na mabeberu mwaka wa 2016.
 
Yah Ndio mradi wetu unachelewa hutuwezi kukurupuka na kusaini mkataba mbovu ambao hautatunufaisha kisa kuwafurahisha wazungu
jamaa anakili mbovu anadhani Tz huwa inafanya kiburi tu ilimladi,

hajui kuwa huwa tunafanya kiburi ambapo tunafanyiwa kiburi yaani pasipo haki lazima tupingane na wewe na ukitufanyia uungwana nasi tunakufanyia uungwana tutaishi nawe vyema.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wewe huwa unajielewa sana Geza Ulole uko na strategic mindset na unaelewa kwamba mambo ya biashara haitaki hasira wala chuki wala ubabe. Marekani anaimport mafuta kutoka Russia japo Marekani bado anawekea Russia sanctions. Biashara haitaki kuwekwa siasa ndani. Nchi adui pia huwa zinafanya biashara japo zinachukiana. Mimi naona Magu alikosea kukataa kuafikiana na mabeberu waliotaka kuinvest kwa Lng plant hapo awali. Naona mngepunguza expectations zenu kidogo. Mama naona ni mtu mnyenyekevu na very strategic minded na ataafikiana na mabeberu hivi karibuni. Ni vizuri nchi za East Afrika pia ziendelee kiuchumi. Uganda iwe oil capital of East Africa, Tanzania iwe gas capital of East Africa na Kenya iwe banking and services capital of East Africa. Natakia East Africa mema na naona mama hana kiburi sana kwa hivyo sina shaka contract itatiwa saini soon. Sasa mabeberu wanatoroka Russia na wanatafuta mahali mpya pa kutoa gas yao. Huu sio muda wa kujipiga kifua. Chukueni offer iliyo kwenye table.
Ila Tanzania haija-support Russia bali imeamua ku-remain neutral by choosing not to vote at all! Kingine Uganda nao wenye mafuta wamesaini kama sisi ingekuwa Uganda wamelamba miguu the West kama nyie labda kungekuwa na hatari ila wenye mafuta nao wameamua kuwa neutral! The West saahii wanahitaji gas na crude oil kuliko wakati wote kuziba pengo la crude oil and gas from Russia ambayo imepewa vikwazo na amini usiamini huu mgogoro umeongeza prospect kwetu!
 
Sisi ni nyang'au huwa tunapenda pesa na biashara. Ndio maana nawashang'aa nyie kutupa fursa hii ya gesi. Sielewi kwa nini mlikataa kuafikiana na mabeberu mwaka wa 2016.
Ndio sababu siku zote miradi ya Tanzania haina rushwa na hakuna "overprice" Kama ilivyo Kenya na Nigeria, haraka na kukurupuka kwenu ni chanzo kikubwa cha "low standard and overprice" ya miradi yenu, hiyo yote ni sababu ya "Corruption, Nepotism na kitu kidogo.
 
Wacha uongo. Mbona ujenzi wa Lng plant haujaanza hapo Tanzania? Kama mngelamba Miguu za mabeberu basi wangekuwa wameshamaliza kujenga Lng plant kwa maana ujenzi ungeanza mwaka wa 2017 na sasa hivi 2022 mngekuwa mnafaidika pakubwa. Shida mnapenda ubishi na kujipiga kifua. Kwa sasa bei ya gas inapanda na itazidi kupanda kadri wazungu wanavyoendelea kususia kutumia gas ya Russia. Wekeni kiburi kando na mfungue milango yenu kwa wazungu. Hata msiwatoze kodi kwanza, wacheni wajenge kwanza ndio muanze kuwatoza kodi. Nyie mna security na amani sio kama Mozambique ambao wanapigwa na magaidi kila siku. Tatizo lenu ni kiburi na kichwa ngumu. Changamkieni fursa hii, Germany amesema atawacha kununua gas kutoka Russia baada ya miaka miwili na ameshaanza kujenga two lng terminals ya kuimport gas kutoka nchi zingine. Hizi lng terminals zitakapokamilika basi Germany ataanza kununua gas kutoka nchi nyingine na atawacha kutegemea gas ya Russia. Hii imesemwa na Chancellor wa Germany Olaf Scholz.

Wekeni ujamaa kando muwe capitalists kama sisi nyang'au ambao tunachamgamkia fursa zote.
Tz huwa tunafanya kiburi ambapo tunafanyiwa kiburi yaani pasipo na haki lazima tupingane na wewe na ukitufanyia uungwana nasi tunakufanyia uungwana tutaishi nawe vyem,huwa hatufanyi kiburi au kichwa ngumu pasipo na sababu ya msingi ukiona kiburi kimefanyika basi jua kuna sababu,

Pia hiyo LNG ipo mezani bado,project itafanyika we tulia ,huwa hatukurupuki

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ndio sababu siku zote miradi ya Tanzania haina rushwa na hakuna "overprice" Kama ilivyo Kenya na Nigeria, haraka na kukurupuka kwenu ni chanzo kikubwa cha "low standard and overprice" ya miradi yenu, hiyo yote ni sababu ya "Corruption, Nepotism na kitu kidogo.
Kwenye foreign relations stand, Kenya huwa siku zote wana policies za Puppeteer towards the West! Kama South Africa wange-vote ku-support West ningeshangaa ila sio Kunyaland! Front states know where they belong! BTW nashangaa Zimbabwe na Zambia kuunga mkono the West!

South Africa Criticized for Abstaining on UN Ukraine Resolution

March 03, 2022 1:49 PM

People look on as Cape Town's city hall is illuminated in the colors of the Ukrainian flag in support of Ukraine following its invasion by Russia, in Cape Town, South Africa, March 2, 2022.

Share
Print
CAPE TOWN —
South Africa chose to abstain Wednesday when the United Nations General Assembly voted on a resolution calling on its BRICS partner, Russia, to withdraw its military forces from Ukraine. South Africa’s U.N. ambassador defended the move, but some South Africans were unhappy with the decision.

South Africa was one of 17 African nations that abstained.

In a statement, South Africa's U.N. Ambassador Mathu Joyini objected to the phrasing of the resolution, saying it “does not create an environment conducive for diplomacy, dialogue and mediation.”

Political science professor Bheki Mngomezulu said South Africa is also influenced by its historical ties to the former Soviet Union.

"There are a number of South Africans, most of whom are now in government, who trained both in Russia and Ukraine. So, they do have relations with Ukraine. And the majority of the people are of the view that the liberation struggle was supported solely by Russia in terms of these two countries, but the reality of the matter is all the countries that were part of the USSR participated in terms of assisting the liberation struggle not only in South Africa but in Africa in general," Mngomezulu said.

The main opposition party in South Africa, the Democratic Alliance, released a statement condemning the country’s stance. The party’s shadow minister for international relations Darren Bergman said the party is shocked that South Africa could abstain from such a vote.

"This was an opportune time for South Africa to take a stand and to assert itself on the international stage,” Bergman said.

He said considering how hard South Africans fought to end the racially oppressive system of apartheid and get the right to vote, and how the international community helped them win their fight, they should’ve repaid the favor.

“An abstention or voting for Russia is pretty much the same language. It’s a vote against Ukraine. It’s a vote against peace, and it’s a condonation of the violence that’s currently taking place in Ukraine,” Bergman said.

Other South Africans added their voices to the chorus of disappointment, including analyst Mngomezulu.

“Of course, it doesn’t paint the country in a positive light, more especially because part of South Africa’s foreign policy agenda is to respect human rights, and in this case it’s clear that the human rights of the Ukrainians [have] been affected,” Mngomezulu.

Ronnie Gotkin, who was out for an afternoon stroll in the summer sunshine, said he was outraged.
“I think it’s pretty appalling. It’s not taking a moral stance. I understand that in the real world there are politics and allies, but sometimes morality should trump out,” Gotkin said.

In all, 141 nations voted in favor of the resolution, five nations, including Russia, voted no, and 35 abstained.

Eritrea was the only African nation to vote with Russia.

Of the UN's 193 member states, 181 voted; 141 countries supported the resolution condemning Russia and five were against it: Russia, Belarus, Syria, North Korea and Eritrea.

CC: Tony254
 
jamaa anakili mbovu anadhani Tz huwa inafanya kiburi tu ilimladi,

hajui kuwa huwa tunafanya kiburi ambapo tunafanyiwa kiburi yaani pasipo haki lazima tupingane na wewe na ukitufanyia uungwana nasi tunakufanyia uungwana tutaishi nawe vyema.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Waache waendelee kuwalamba wazungu miguu
 
Ila Tanzania haija-support Russia bali imeamua ku-remain neutral by choosing not to vote at all! Kingine Uganda nao wenye mafuta wamesaini kama sisi ingekuwa Uganda wamelamba miguu the West kama nyie labda kungekuwa na hatari ila wenye mafuta nao wameamua kuwa neutral! The West saahii wanahitaji gas na crude oil kuliko wakati wote kuziba pengo la crude oil and gas from Russia ambayo imepewa vikwazo na amini usiamini huu mgogoro umeongeza prospect kwetu!
Sure man na wazungu they are running out of options now wakigeukia uarabuni, waarabu wanajipangia bei zao hawataki kuingiliwa, wakigeukia south america wamemwekea vikwazo venezuela ambaye Ndio mwenye reserves kubwa ya mafuta na gesi the only option imebakia africa tuu yani hawana jinsi watakaa wenyewe
 
Kwenye foreign relations stand, Kenya huwa siku zote wana policies za Puppeteer! kama South Africa wange-vote ku-support West ningeshangaa ila sio Kunyaland! Front states know where they belong!

CC: Tony254
Kenya katika sera na mahusiano ya kimataifa ni nchi Moja ya hovyo Sana, hawajulikani nini wanataka, haiwezikani kushutumu Wala kulalamikia maamuzi ya nchi nyingine, kwa mfano jinsi walivyoishutumu Tanzania eti haikuipigia kura kumchagua Amina Mohamed, eti tumchague kwa ulazima kwasababu ni jirani yetu
 
Wanajisahau ni jirani anayelamba miguu the West! Ukitaka kujua angalia stand yao kwenye security council as a temporary member!
 
Back
Top Bottom