Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,258
- 107,895
Kuna sehemu kama Tanga pipeline inaenda ila hamna ofisi za maana! Kunahitaji investments kama hizi!Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
Regime iliyoisha ilikwenda bampa to bampa na nchi yenu mpaka mkaomba poo, ila regime ya ss imeanza kujenga urafiki na nyie mpk tunawajengea maghorofa co mchezo wallahi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] kwahyo ile regime ilioisha ww uliipenda sana
[emoji23][emoji23][emoji23] una allergy na ukweli sana ila hakuna namnaRegime iliyoisha ilikwenda bampa to bampa na nchi yenu mpaka mkaomba poo, ila regime ya ss imeanza kujenga urafiki na nyie mpk tunawajengea maghorofa co mchezo wallahi.
Unatumia Revit boss? Mimi ni msee wa ArchiCAD.leteni kandarasi masera wangu. au kama vip ni mizuka
kazi ya leo hii. mteja wangu flani toka eldoret 👇🏽
kwa imani ata dar na chugga ntaishika sku moja
View attachment 2138979
Kazi nzr ila ma Architecture Tz wapo wengi hata watu wasioenda shule kabisa wanafanya hii kazi vzr kabisa.leteni kandarasi masera wangu. au kama vip ni mizuka
kazi ya leo hii. mteja wangu flani toka eldoret [emoji1427]
kwa imani ata dar na chugga ntaishika sku moja
View attachment 2138979
Ukweli upi huo? Nyie wakunya mnashangilia sn awamu hii ila hii nchi imeshawaka mzee hairudi nyuma na ndiyo maana unaona tunafanya mambo mengi kwa mkupuo na hatuyumbi.[emoji23][emoji23][emoji23] una allergy na ukweli sana ila hakuna namna
Pitia katika orodha Kama hii ya Tanzania uone bidhaa za Tanzania zinazouzwa nje. Wacheni kisingizio Tanzania tumechukua masoko yenu yote hapa EA, yaani bidhaa ambazo Uganda na Rwanda na DRC walikua wanazifuata Kenya, Sasa hivi wanakuja kununua Tanzania [emoji28][emoji23][emoji23]View attachment 2138951View attachment 2138952View attachment 2138953View attachment 2138956View attachment 2138957View attachment 2138958
Unataka nikuhesabie finished products hapo ni ngapi ama unajua kuhesabu?
Kenya Exports to Tanzania - 2026 Data 2027 Forecast 2010-2025 Historical
Kenya Exports to Tanzania was US$485.79 Million during 2025, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Kenya Exports to Tanzania - data, historical chart and statistics - was last updated on September of 2026.tradingeconomics.com
Mbona usipost kama nilivyokupostia? When you say something, the onus is on you to prove it.Pitia katika orodha Kama hii ya Tanzania uone bidhaa za Tanzania zinazouzwa nje. Wacheni kisingizio Tanzania tumechukua masoko yenu yote hapa EA, yaani bidhaa ambazo Uganda na Rwanda na DRC walikua wanazifuata Kenya, Sasa hivi wanakuja kununua Tanzania [emoji28][emoji23][emoji23]
me Revit... no, i only use ArchiCad19or22 for drawing and Artlantis6 for Rendering, but the latest ArchiCad25 and Lumion Render are the best.Unatumia Revit boss? Mimi ni msee wa ArchiCAD.
Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
Mm icho kitega uchumi ata sielewi hapa ni matumizi mabaya ya fedhaa tuuI kutotumia vyema pesa yetu
kazi mzuri kabisa👍🏽.. hio Eaves umetumia Complex Profile ama.?
It has been almost a decade in the making... This is from 2014
but ujue wale wasio enda shule ndo chanzo cha manyumba kuanguka, hasa nyumba za ghorofa, kisa ku space Columns beyond 6000c/c ama Ringbeams tht are less than 450mm deep or even Cantilivered Balcony that goes beyond 2000mm na bila ku involve Structural Engineer kwa Reinforcement Steel Bars...Kazi nzr ila ma Architecture Tz wapo wengi hata watu wasioenda shule kabisa wanafanya hii kazi vzr kabisa.
Zii, you create a concrete fascia profile beam and use it.kazi mzuri kabisa👍🏽.. hio Eaves umetumia Complex Profile ama.?
btw unatumia ArchiCad gani.?
While you are here hating,
Clearly you have absolutely no idea what you are ranting about. Kila high speed rail sio SGR!!!! Bongolala... There are broader gauges from 1676mm !!!!!!!! And unless your rail will be operating at 250 km/h and above, you are proving silly thinking you have high speed rail ..Acheni aibu za kijijini !! The US of A itself barely has 1 high speed line, 3 under construction at the moment, who is bongolala?? Your high speed rail will probably arrive 300 years from todayKuna tofauti Kati ya high speed rail na SGR . Ni hivi sio kila SGR ni high speed rail Ila kila high speed rail ni SGR.. ona vile high speed rail hukaa 👇 TanzaniaView attachment 2138647View attachment 2138648View attachment 2138649high speed rail in china 👇View attachment 2138651haya tuonyeshe na wewe hiyo high speed rail mliyozindua uko kwenu .. inshort you guys have zero km of high speed rail.. high speed rail zipo tz tu kwa hapa East Africa.. kitu nyie mnacho ni kama hiki cha US 👇View attachment 2138653and by the way, this ☝️ isn't considered a high speed rail.. sisi tunazo na tukikamilisha tatakua nchi pekee Africa kuwa na km zaidi ya 1500 za high speed rail while you guys have zero km. 😂😂