Ngao ya Sponji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 341
- 545
I think GOT did a Currency Manipulation, This helps us Export more as our products will be cheaper in the Market, however this move will make the Imports prices relatively Higher due to Currency depreciation, Some of those countries have the Weakest Economy compared to ours but their Currency are performing better.Ala? Kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kabisa Afrika nzima dhidi ya dollar? Yaani hata Somalia na South Sudan wala sarafu yenye nguvu dhidi ya dollar kuwashinda? Mnavuta mkia kwenye kila kitu.
View attachment 2135265
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007 tuusan
Zwazwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hii Parklands inaweza linganishwa na mtaa gani Dar is Slum?
Na kwnn tutengeneze overpass ya kimaskini wkt tuna pesa? Kama mnataka kushindana umaskini hapo kwakweli lazima tushindwe.Utasikia eti "taja kitu kipo Nairobi hakipo Dar"
Washenzi wa mwisho
Shida ni kwamba Tz nzima inawaka isipokuwa kunyaland ni only naipori, vi county vingine havina umeme kabisa.anyway we have to accept how you are and how you reason [emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2136600
So what source did you want it to be? Citizen Tanzania?source nation africa kenya πππ
You must be using very bad drugs a country of 33% coverage unacompare Na a country of 85% coverage and you talk so confidently Na kumbe hujui what you sayingShida ni kwamba Tz nzima inawaka isipokuwa kunyaland ni only naipori, vi county vingine havina umeme kabisa.
RifaHauna maarifa,mzigo
Leta facts wacha kucheka km mhaya kaona pochi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa confidence kabisa
This is really a failed state
Sasa hapa kipi kinahusu Kenya?, Mkutano kufanyika katika ardhi ya Kenya au Kenya imehusikaje hapa?UN Nairobi (UNEP) imefanya makubwa leo.
Wenye wivu akina Geza Ulole ichoboy01 na The best 007 sijui mtajificha wapi leo.
Wewe Tony254, wacha kulinganisha Barbara inayounganisha mikoa miwili na barabara ya ndani ya Jiji, angalia urefu wa hiyo ya Uganda ni mara mbili ya hiyo ya Kenya.Wewe unadhani kujenga expressway in an urban area ni sawa na kujenga expressway in a bush? Kwanza umehesabu land compensation ambayo watu wanaomiliki ardhi kando mwa Nairobi expressway walilipwa? Umehesabu costs of transfering underground fibre optic cables, water pipes na sewage pipes? Umefactor in tatizo la kujenga expressway ambayo ipo raised zaidi ya kilometre kumi? Hii ya UG ipo raised kwa kiasi kidogo sana. Huwezi kucompete hizo projects mbili kwa sababu ni projects tofauti.
Nchi ya watu maskini zaidi hapa EA inajulikana na wala hauhitaji kukumbushwa kwamba ni TanzaniaNa kwnn tutengeneze overpass ya kimaskini wkt tuna pesa? Kama mnataka kushindana umaskini hapo kwakweli lazima tushindwe.
Ni la muhimu coz that's the only UN office in whole of AfricaSasa hapa kipi kinahusu Kenya?, Mkutano kufanyika katika ardhi ya Kenya au Kenya imehusikaje hapa?
Leta this leta that ingia Google kwa muda wako iyo spoon feeding hapa hamnaLeta facts wacha kucheka km mhaya kaona pochi.
Leta Jambo moja mpk lingine ila mambo tangible tuchambue kuhusu TZ na Ghana km utachomoka hapa.
UN office zipo mpaka KataviNi la muhimu coz that's the only UN office in whole of Africa
Mpaka 2060 ndio mtapata national grid
Kenya ni Utopolo siku hizi hawataki kuamini mambo yamegeuka bado wako in denial.Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..