Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa ni waongo sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, oya The best 007 hawa jamaa ukitaka kuwajua vizur muulize kaka ichoboy01 yeye ndio alinifundisha katika maneno 1000 ya mkenya chukua neno moja alafu mengine muache nayo mwenyewe.. owky . According to the sources zinasema the largest electric power producer in Kenya ni hawa kenGen πŸ‘‡ambayo inazalisha 75 percent of electricity in kenyamy take:
ikiwa largest producer anapata revenue 42 billion kenya shillings, Kenya power, the second largest producer of electricity in Kenya inapata revenue 100 billion per annum.? I'm out 🚢🚢
 
Asante sana, mm nilijua fika wanaongopa sema shida ni kwamba simu ninayotumia kwa ss ipo slow mda mwingine naona uvivu hata kuchimba kiundani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kingine ukitaka kumjua mkunya anaongopa ni pale anapoongea bila facts, alafu kitu ambacho mm huwa kinanikera sn na kuona hii battle na hawa jamaa Haina mana ni pale wanapopeana support hata kwa uongo.
 

πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
You need to brush your brain bwana mdogo. Finance siyo Accountancy.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole sana bro, fanya upate simu nzuri tupige mbwa
 
Kingine ukitaka kumjua mkunya anaongopa ni pale anapoongea bila facts, alafu kitu ambacho mm huwa kinanikera sn na kuona hii battle na hawa jamaa Haina mana ni pale wanapopeana support hata kwa uongo.
Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..
 
Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..
Alafu shida ya ku battle na hawa jamaa ni kwamba over 90% ya post zao zinahitaji uchunguzi, huu ni ujinga they need to grow up bhn.
 
Thibitisha
Siku Ghana ikiizidi Tanzania natembea kende wazi.
Anzia sector ya Afya,sector ya kilimo,sector ya madini,sector ya ulinzi,miundombinu,ukuaji wa miji n.k n.k.
Tanzania iko mbali,hiyo Ghana tofauti na Accra nitaftie miji yake mengine inayokua km ilivyo Arusha, Kilimanjaro, Mbeya,Katavi,Dodoma,Tanga,Mwanza n.k.
 
si bora ile nusu ni loan na italipwa na hakuna mtu atalipa ili apite 🀣🀣🀣🀣 kwenu mchina ataishikilia miaka 30 na hakuna kenge atapita bure bila malipo kwenda kwa mchina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwako imekaaje hio kwa nchi maskini kama yenu nioneshe ni kitu gani serekali ya kenya imetoa ili tujue ni ppp na serekali ya kenya itafaidika nn hapo???? ikiwa employment za expressway zitaenda kwa wachina na ukusanyaji utafanyika na wachina na pesa zitakwenda china πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kwenu itabakia ile sifa na sisi tuna expressway ambayo inawalaza njaa
 
Si useme tu ulimaanisha 2009 badala ya kuendelea ku prove nonesense? Ulisema ilijengwa 2019 not once but mara mbili. we understand errors happen ila kubali kuwa corrected, for once learn that in the very least.View attachment 2136250
hujui maana ya kujengwa au?? 🀣🀣🀣🀣 au kiswahili kwako ni historia
fananisha project ya miaka 10 iliopita na project ya leo hvi muko serious kweli
 
hii dege iko si ni ki estate imestall ya kawaida....or by tz standards this is a new city 🀣🀣
angalia sehemu tuliojenga na sehemu muliojenga alaf mjibu huyo zwazwa wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…