Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony bhn mda mwingine huwa unachekesha sn, yani mpk leo unasema Kigamboni hujawahi kuiona? Ok waambie Wakenya wenzio wakuoneshe cz wanaijua vzr sn.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 gate for just 3m ksh nani aliwaroga hawa watu jamani
 
Alafu watasema wameizidi Tz kwa km of paved roads na kuna kunguni za ki Tz zitawaunga mkono, yn tunaunganisha mikoa yote ya Tz kwa mtandao wa lami alafu wanatokea watu na kanchi kao kadogo kama mkoa mmoja wa Tz eti wametuzidi kwa km of paved roads.
na tanzania ifahamike ni kubwa mara mbili ya kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka sana kulinganisha huu upopoma (apartments) na dege ecco village it's disrespectful .. yani huu πŸ‘‡you must be kidding.. any way Dege ecco village sio apartments ni city kabisa kama ambavyo mnatengeneza tatu city na zinginezo nilishangaa sana Tony eti na yeye yupo humu ndani siku zote na hajui chochote kuhusu Dege ecco village. Huu mradi sio tu apartments za kuishi ni kila kitu kipo ndani, barabara za lami, water sewage systems, and all them centers for different services ... And it's some km away from CBD.. Pitia hapa πŸ‘‡ . Angalia hii video hadi mwisho
 
Yani umeonyesha vizuuri building za GG zilizokamilika alafu unaturushia renders za Dege Eco na bado unataka kutueleza vile Dege iko juu.
 
Bro nani kakwambia mradi wa Dodoma new city umeanza 30 years.? Ujenzi wa Dodoma kama makao makuu ya nchi rasmi utekelezaji wake umeanzishwa na Raisi magufuli 2017 kama sijakosea, na hata hiyo new Magufuli City (gov city) ni mradi wa magufuli and everybody knows that humu ndani, I wonder why hakuna aliejitokeza kukuelewesha.. na ndio maana kila kinachopostiwa kizuri kuhusu Dodoma humu ndani ni kitu kipya kabisa au kipo U/C .. kuhusu case ya Kigamboni.. kulikua na proposal za miji miwili ambayo ni Kigamboni city project (it's not done) na Dege ecco village Kigamboni. Hii yote ni miradi ya kutengeneza miji na sio apartments kama ulivyodai kuhusu Dege ecco village.. kwenye hizi post zako πŸ‘‡


Na ukweli upo wazi mbona, Dege ecco village ni City project kama konza na tatu city, Dege sio gated community wala apartments tu kama ulivyodai .. pitia hii video πŸ‘‡imeeleza kila kitu . Usipotoshe watu ikiwa kitu huna yakini nacho (hukijui)
 
Mkuu kuhusu huyu Tony kuongea mambo mengine asiyoyajua ni kawaida yake, cc tuliyemzoea mda mwingine huwa tunamwacha mana inachosha kumweleza mtu kitu hicho hicho alafu anarudia tena vilevile. Hapo juu amesema eti Dodoma imeanza kujenga 30yrs back na akaongeza kusema eti since Uhuru, je mtu kama huyu ni wa kujisunbua kumjibu kitu ambacho kinaongelewa kila siku?

Mm nilitaka kumjibu lkn nikaona nimuache tu mana Tony ana tatizo la kusahau sahau, mfano anasema hajawahi kuiona Kigamboni wakati mara kibao imewekwa humu na yeye mwenyewe aliwahi kuisifia, ss Leo anakuja anasema hajawahi kuiona, utamsaidiaje mtu kama huyu? Sisi ambao tunamfahamu vzr bwana Tony huwa tunamwacha tu as long as wakunya wenzie wanaujua ukweli haitaharibu kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…