Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafadhali usiweke maneno kinywani mwangu. Hatulinganishi Tatu city na Kigamboni. Tunaongelea kuhusu utekelezaji wa master plan husika.
 
ndo mnavyodanganywa hivi Kibera na unaamua kuleta hapa! Hebu leta evidence ya ulichosema! And if that the case mbona msichague a cheaper option but superior quality kama Tanzania?
Wewe ni mzee, jiheshimu na ukubali ukweli for once, cost ya bullet train kama hio mwenzenu ameweka ina cost aje?
 
Kirumba Stadium is a FIFA approved and verified venue for international matches



VS

Kasarani stadium



Unfortunately kuna mpuuzi juzi alikuwa analinganisha Mkapa stadium na a FIFA banned Kasarani stadium ati!

CC: KANAIRO, NairobiWalker, KENPAULITE, komora096, Teargass n IamLee
 
Hii xpress way ya mchina kasehemu kalikoinuka ni only 8km huwezi kulinganisha na hyo ya Entebe.
🀣🀣🀣🀣🀣 ila mchina πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila pilipili usiyoila yakuwashiani? Wapi expressway yenu??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£tofauti yenu na wale wamama wa kupiga udaku kuhusu majirani ni gani? πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
 
Ati 13 years πŸ˜‚πŸ˜‚ ulidhani ni njia inajengwa imalize miaka tatu? Na hizo city zenu ziko wapi btw 🀣🀣🀣 zilikuwa zinaitwa kigamboni? Hata nimesahau jina, na bagamoyo ipo wapi? Difference between story telling and people who work, na bado unafikiria tuko ligi moja.
 
pata picha jamaa anapewa utani wa kurusha ngumi alafu unakuta Tyson Fury ndo anafanya πŸ‘‡


Naona hapa ndo methali ya hasira hasara ilipoanzia maana akiingia na hasira anapewa vitasa vya kutosha! πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ
 
Exim bank of Tanzania haina branch Ethiopia. Mimi masuala ya benki za ukanda huu nimezifuatilia kwa ukaribu sana. Pengine ina representative office lakini sio branch. Kama unapinga leta evidence
Ingia website yao! In short they operate on the back of Djibouti specialising on logistics btn Addis Ababa n Port Djibouti! Be rest assured when Ethiopia allows other regional banks to operate, Exim Bank Tanzania will be among the first!

Exim Bank expands its wings to Ethiopia
 
anachanganya chumvi na sukari 🀣🀣🀣🀣 na hajui thika imejenga 2019 leo ni 2022 bado anafkiri cost zitabaki zile zile 🀣🀣

32b ksh ya 2019 ni sawa na over 65bksh ya 2021
Ati thika road imejengwa 2019 🀣🀣🀣🀣 shida ya watanzania huwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…