Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar CBD is tiny and disorganised compared to Nairobi's View attachment 2132126
Upanga East 👇upanga west upanga both sides 👇Upanga is larger 2× than your so called westlands 👇imagine West lands with no NBO towers 😂😂😂, Upanga ni zaidi ya Eastland, labda tulinganishe West lands na Upanga side by side, lakini sio upunga yote.
 
Usiangalie land area, angalia development.
 
Which influence you fools, Kenya is a member of security council, position which is almost rotational for all African Countries, does this make Kenya to be special just for voting like all others members of security council?
kwani don't u knw tht kenya is host to 1 of the 4 arteries of the UN International Offices. we'll have influence most definitely.!
ona, tanganyika mko tu na EAC Hq.! even better ethiopia, wako na atleast AU Hq. Offices.!

 
huwaga wanasemanga ukweli kwa siku zote inachoma. tuusan akisema ukweli wa mambo jinzi yalivyo, inakua ni prostate cancer kwa wengine kamavile Geza Ulole na The best 007
Shida ya wabongo ni hio. Yani wakiambiwa nchi fulani imewazidi kwa hili, wataenda wafukue the most desolate areas of that country na kuzipost kujiconvince wao ndio bora. Kuna siku mmoja humu alifukua Favelas za Brazil eti anaprove Tanzania iko more developed than Brazil. Yani hawa wajamaa wako na shida. 🤣🤣
 
We jamaa uwa haunaga akili,hii nchi tulishasema toka kitambo hatunaga mambo ya kujipendekeza kama nyie. Sisi ni wachina wa Africa
 
umegonga ndipo kaka braza 😆
 
Mwanza ifike hapa kwanza ndio ijilinganishe na Mombasa

Nakumbuka nilienda Nakuru 2020 nikakutana na wakikuyu wana maisha ya shida sana halafu bila kukosea hapa ndio kwao na Jomo kenyatta,kiufupi nakuru ni uchafu sana ata pia kuna slums za kutosha ila kuna hewa nzuri sana ni kama chugga tu
Nakuru nahisi kwa bongo tuifananishe na kahama au Musoma mara
 
We jamaa uwa haunaga akili,hii nchi tulishasema toka kitambo hatunaga mambo ya kujipendekeza kama nyie. Sisi ni wachina wa Africa
aah wapi ! nyinyi kujipendeza souzafrica nayo.!?, eti 'wao ni mandugu zetu wa zati', lakini ikifika xenophobic attacks....... nyinyi ndio wakwanza kufurushwa.... hehe😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…