NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,278
- 19,616
Hivi unaweza linganisha Mwanza na Mombasa?punguza upumbavu, hujui serikali ya kenya kila kitu imerundika nairobi? TANZANIA is is diffrent, keki ya taifa imegawanywa katika maeneo yote ya nchi.
Sasa mbona bandari ya Mombasa mnamcheleweshea kunkabidhi.Mchina tunakupenda. Endelea kuinvest Kenya. View attachment 2130683
Wewe ndio mpuuzi hata huelewi ulichoandikapunguza upumbavu, hujui serikali ya kenya kila kitu imerundika nairobi? TANZANIA is is diffrent, keki ya taifa imegawanywa katika maeneo yote ya nchi.
Wewe jamaa unakuwaga kama hujaenda shule,Unapambana na mimi ama takwimu sasa?View attachment 2130696
Unakuwaga kama vile hujaenda shule kbsa.Unapambana na mimi ama takwimu sasa?View attachment 2130696
Iyo ni source yako,sasa tafuta any other credible source itakayoonyesha otherwise...ukiipata utakua sahihi kunizidi,nachokueleza ni kwamba Accra wanapesa kutuzidi,mmekaa kujidanganya hapa hadi vitu viko wazi mnabishabisha ili nnWewe jamaa unakuwaga kama hujaenda shule,
Unakuwaga kama vile hujaenda shule kbsa.
Hiyo orodha kaiandaa raia wa Ghana,halafu unategemea aitoe nchi yake kwenye list? Hakuna kitu kama hicho accra itabaki kuwa level za Arusha imeisha hiyo.... Huyu jamaa mama yake ni mghana halafu baba mnigeria (Igbo)[emoji116][emoji116]
View attachment 2130744
Accra kama ni mbaya unaweza pata jibu dar ni mbaya zaidi maana kama wametuzidi pesa na ni pabaya basi kwetu patakuajeFacts gani? Hivo vitakwimu vyenu ndio vinafanya Accra kuwa bora kuliko Dar? Unapajua Accra wewe? Huhuhu
Wewe ni mijingaSasa mbona bandari ya Mombasa mnamcheleweshea kunkabidhi.
Wewe shandazi rudi mumu wanakutafuta huu uzi siyo saizi yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kule mumu kuna wimbo mpya wa zuchu nenda kachangieIyo ni source yako,sasa tafuta any other credible source itakayoonyesha otherwise...ukiipata utakua sahihi kunizidi,nachokueleza ni kwamba Accra wanapesa kutuzidi,mmekaa kujidanganya hapa hadi vitu viko wazi mnabishabisha ili nn
🤣🤣🤣🤣🤣Unapambana na mimi ama takwimu sasa?View attachment 2130696
Hizo nyumba pembeni ya interchange ni za udongo ama? So that flyover alone inakufanya kuona Accra ipo more developed than Dar! beautiful grandiose interchange but if u look careful u see those for roads end up to two lanes road aside the fact most streets in that surburb r dusty! Huu ndo ujinga wa Ukunya kule Ghana!Mnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......View attachment 2130766
Ukiondoa hapa ambapo ndio face of accra hakuna panapotazamikaMnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......View attachment 2130766
doesnt dar has such funny houses all over....are you for real.Accra imewazidiHizo nyumba pembeni ya interchange ni za udongo ama? So that flyover alone inakufanya kuona Accra ipo more developed than Dar! beautiful grandiose interchange but if u look careful u see those for roads end up to two lanes road aside the fact most streets in that surburb r dusty! Huu ndo ujinga wa Ukunya kule Ghana!
Imetuzidi wapi kaka? Ebu njo real facts achana na hizo research za hao bloggers wa kuunga unga wanaosema eti kwao ni pazuri on paper lakini kwa ground mambo ni tofauti kabsadoesnt dar has such funny houses all over....are you for real.Accra imewazidi
Rais wa Urussi kasema pambaneni na njaa kwanza iishe, mnatikisa baobab tree mtaishia kutikisa ma,t,a,ko yenu tuMnadhani Accra ni Ovyo......why are tanzanians extremely ignorant lakini...smh.
Mnadhani ni nyinyi tu ndio mnaendelea.......
Hizi pesa zilitolewa lini?
Huoni Takukuru wanafanya yao? Uliwahi kuona serikali ya awamu ya 5 imekamata mwizi hata mmja? You know why?Upo ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye hii serikali billion 16 zinatumikaje kwenye kuajiri, hiyo ni mishahara ya miaka mingapi kwa idadi gani?
Bado kwa lipi? Unamdanganya nani labda? Dar sidhani kama inaweza lingana hata na Bamako mali achilia mbali Dakar.Ndugu koma kufananisha Accra na Dar. Huko West Africa majiji yao bado sana kwa majiji yetu.