Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe, and you stupidly believe that rich dude anafanya kilimo [emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe ni mjinga,ni board member wa AGRA na Kazi yao ni ku support wajasiamali wa kilimo,ndio hao wamama na wengine wako kwenye agro processing.

Kilimo kwanza kwa vitendo inaendelea.
 

Vipi kuhusu kisumu airstrip! nayo ilishindwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi hiyo kitu tunapenda maana inatusaidia kuwafedhehesha wenye gdp kubwa, tunatamani waseme gdp yetu ni $32bil ila wakicheki kwenye real life tumewapiga mbali sana , na hicho kimetusaidia sana kuwavutia africa na ulaya kushangaa maendeleo yetu tofauti na gdp, hata JPM alipata sifa kwa sababu hiyo .FAIDA YA KUTU UNDERVALUE INAWAFANYA WAWE SUPRAISE
 
Na huo ndiyo uchawi iliotumia china hadi imejengeka hivyo ilivyo kutoka kwenye umasikini mkubwa ...ila sisi tuna lipa wanajeshi mishahara pasipo kazi yoyote wanashinda kuruka magwaride na kupigiana saruti tu ..mipesa mabilioni inakwenda nje kwa kujengewa miundo mbinu yetu na wageni matokeo thamani ya pesa inaporomoka . Wachumi wa nchi za afrika ni wapumbaavu sana kwanini awalioni ili jeshi lina kazi ya kusubiri vita tu [emoji15][emoji15]ndiyo maana wanaamuaga kupindua serikali .
 
Huwezi kudefine slums bila kutaja poor people, Buswelu kila nyumba ina gate na watoto wanaletwa nyumbani na school busses halafu unasema wanaishi kwenye slums? We mpumbavu sana

View attachment 2129289
Sasa hao wanaishi milimani ni weathy people? Acha ujinga wewe.

We kubali tuu kwamba kwa sehemu kubwa Tzn tumefeli kwenye town planning wala haina ubishi.
 
Mimi namuunga mkono Balozi, Russia na Putin ni washenzi wakubwa.
 
JKT wangepewa tenda hata za kufanya plan za nyumba zetu zilizojengwa kiholela ingekuewa poa sana. Wangefanya kwa awamu kubomoa na kujenga upya kama walivyofanya nyumba za magomeni kota ingekuwa safi sana.
Pia serikali Bora iunde agency kwa Kazi hiyo tuu,hii ya kutegemea Halmashauri sijui makusanyo ishashindikana.

Waunde mamlaka ya upangaji miji na ardhi,wa regulate kila developments on land.
 
Sasa hao wanaishi milimani ni weathy people? Acha ujinga wewe.

We kubali tuu kwamba kwa sehemu kubwa Tzn tumefeli kwenye town planning wala haina ubishi.
Unajua maana ya 'wealthy people'

Wealthy people ni watu wenye mkwanja mrefu hasa, watu wenye uwezo wa kwenda Paris for shopping, boarding yachts and own supercars

Hapa tunaongelea watu wenye ahueni ya maisha, wenye uwezo wa kuendesha maisha yao na kumudu mahitaji yote ya binadamu kwa kiwango cha kuridhisha au wastani, Huwezi kulinganisha maisha ya Buswelu na maisha ya mathare au uwanja wa fisi
 
Kwa hiyo middle income earners wanaweza kwenda ishi huko kwenye uswazi? Wewe unaweza enda kujenga sehemu kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…