chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Mama yako ana sura gani? Unaweza kuta mama yako hamfikii kwa urembo, inachekesha sana mkenya komkosoa mtanzania kwenye muonekano wa sura, kwa urembo upi mlionao wakenya?Hahaha. Huyu nikipatana na yeye usiku wa manane nitatoroka na kujificha mvunguni mwa kitanda. Dah! sura linatisha sana hilo. Licha ya utani wote huo, wacha niwapongeze Watanzania kwa kumchagua speaker wa kwanza wa kike wa Tanzania. Kenya tunastahili kuwaiga kwenye hilo.
Even if you rope in those uswazi village hovels it won't change anything.......I say most tanzanians know nothing about Nairobi and its metro na mnadhani we are insulting you.....It is like we rope in Bagamoyo, Kibaha, Kibiti na Kisarawe iwe Dar. These people are Jokers.
Hahahaha nchi ya hovyo sana Yaani runway ni 1 tu, mpaka Tanzania imetoa msaada na hii sio mara ya kwanza, kisha utasikia eti wapo advanced kwenye infrastructure 😅I thought that little Wilson could handle big shit as spoken here at JF. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JKIA runway closed, flights diverted to Mombasa and Dar es Salaam
The runway was closed after an aircraft developed a mechanical hitch.www.the-star.co.ke
JKIA runway closed, flights diverted to Mombasa and Dar es Salaam
the-star.co.ke
Feb 23, 2022 3:00 PM
The runway was closed after an aircraft developed a mechanical hitch.
Jomo Kenyatta International Airport runway has been closed after an aircraft developed a mechanical hitch.
Officials have confirmed to the Star that flight departures and arrivals were affected with some diverted.
All Landing planes are being diverted to Mombasa and Dar es Salaam Tanzania as officials work to clear the Fly540 plane from the runway.
“All landing planes being diverted to Mombasa as officials work to clear the Fly540 plane from the runway,” said officials aware of the incident.
Kenya Civil Aviation Authority Director-General Gilbert Kibe said flight departures and arrivals were affected.
“Technicians are working on the issue to clear it,” he said.
Kenya Airports Authority said the closure of the runway was temporary.
“This is to confirm that the runway at JKIA is temporarily closed as crews respond to safely remove a disabled aircraft. Takeoffs and landings are on hold. Passengers are advised to check with their respective airline for flight status updates.”
Only small aircraft were able to take off from runway 24.
The operations were, however, restored around 9:20 pm paving way for normalcy.
"Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) runway has been cleared and opened. Normal operations have resumed. Passengers are encouraged to contact their respective airlines for their flight status," Kenya Airports Authority said.
The incident had caused much agony for travellers, especially those connecting to other destinations.
Hawa wajinga sana waache wazidi kushangaa kwanini tz ina gdp ndogo na kufanya mambo makubwa ,kichekesho wanadai ghana ina gdp kubwa kushinda tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati kamji kao ACCRA ni km²173 na kana gorofa kama 12 yenye floors zisizozidi 10Tulishatoka huko mkuu wacha kuturudisha nyuma, huo ni ujinga.
Tatizo siyo pesa tatizo ni uongozi wakati jpm anapanga na kikwete rais alikuwa dhaifu kikwete ila pesa tunayo pia tunaweza kufundisha jeshi letu kujenga madaraja kama ya tanzanite na sgr na mabarabara na maflyover ili kuokoa pesa za kigeni na pesa zetu kwenda nje ya nchi ,kama tutatumia jwtz kufanya ujenzi wa kimkakati basi tutakwenda kwa kasi na kufika mbali ,mfano ni brt2 kama pesa wangepewa jeshi na ujuzi hii brt ingekuwa imeisha kwa mwaka na nusu tuTatizo pesa kaka, Serikali ya Mkapa chini ya waziri wake wa ujenzi (Magu) walipofanya upembuzi yakinifu iliona BRT ndiyo suluhisho la usafiri wa umma Dar na wapanga kuanza na hizo awamu 1,2,3,4,5,6.
Na ukiangalia historia ya BRT utaona ilianzia Bogota, Colombia ambapo, walikuwa na tatizo kubwa la masongamano. Walienda kufanya studies huko Ulaya na miji yenye subways kama NY, walipokuja kufanya mahesabu wakaona gharama ni kubwa sana. Ndipo walipobuni BRT ambapo walitumia barabara zilizokuwepo na kuzibadilisha kidogo kutengeneza usafiri wa umma wa uhakika.
Hizi trams kwa sasa labda waziweke kwenye zile reli za Mwakyembe, au wafanye kama vile Kenya walivyofanya, lakini kutengeneza mfumo mzima ni gharama kubwa sana kwa nchi yetu. Bado tunamambo mengi ya kutumia pesa za walipakodi.
Tazama ghana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utacheka wanadai ghana ina GDP kubwa kuliko tz .....hivi ni vichekesho vya mwakaNgoja siku moja tutafute nchi zinazofanana na GDP ya Tanzania na Kenya halafu tulinganishe tuuone ukweli.
Hebu waambie wapost hzo areas ametaja. There is something we want to confirm 🤣Even if you rope in those uswazi village hovels it won't change anything.......I say most tanzanians know nothing about Nairobi and its metro na mnadhani we are insulting you.....
Labda kilimo cha bangi anaweza fanya ,serikali ichunguze huyo muhuni analima nini huko mapolini ,namashaka sana na huyu kidudu mtuHehehe, and you stupidly believe that rich dude anafanya kilimo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna Masikini hutoka Tandale kuenda kutembea Masaki? If you don't gerrit it forget ithakuna cha excuses hapa.. this is more than obvious, shida tu ni venye mtz hakubali kushinda. ata kama yeye no.5 ata insist yeye no.1 bado. shida kubwa tuliyonayo jf
Barabara ziko vizuri,Makazi sasa ni slums tupu,huu ndio ukweli hata mkinuna.Hahahaha hivi kwa nini mnapenda kuwatumia viongozi wa Tanzania ili kuvalidate advancement yenu? 😂😂😂
Siku Nairobi ikiwa na barabara kama hizi za Mwanza kwenye average residential areas 30 kilometers from CBD njoo nikupe password ufunge account yangu haraka
Singida town TznLodwar town in Turkana County at night where bongolalas believe is underdeveloped and there's no electricity View attachment 2128646View attachment 2128647
I wish ccm watoe haya majengo kwa Chuo cha Diplomasia cha Nyerere Kivukoni,walitoa Chimwaga kwa Udom na Adem Mzumbe kuwa Mzumbe university.
Nyinyi ndiyo wajinga mnao amini ghana inashinda tz kiuchumi eti ina GDP KUBWA KULIKO TZ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jidanganyeni tuhakuna cha excuses hapa.. this is more than obvious, shida tu ni venye mtz hakubali kushinda. ata kama yeye no.5 ata insist yeye no.1 bado. shida kubwa tuliyonayo jf
Ni mrembo kweli ila hawezi mzidi huyu Linda Thomas, utadhani ancestors wake walitokea Kenya 🤣🤣Hahaha naona jamaa hakuelewa. Lakini mimi nakandia point yangu ya awali kuwa huyu speaker wenu ni mrembo ajabu. Yaani ameumbwa akaumbika.
View attachment 2128384View attachment 2128385
View attachment 2128393
Makazi sio slums unless hujui maana ya slums hizi ni aina za settlement isolated, dispersed, nucleated, and linear.Barabara ziko vizuri,Makazi sasa ni slums tupu,huu ndio ukweli hata mkinuna.
Hivyo vijumba huko milimani vinatia kinyaa.
Disorganized residential units=slumsMakazi sio slums unless hujui maana ya slums hizi ni aina za settlement isolated, dispersed, nucleated, and linear.
Hayo kwenye video ni dispersed settlement ambapo hata ulaya yapo
Slums ni mlundikano wa sharks kama za kenya kwenye eneo finyu, hizo nyumba kwenye video kila nyumba ina maji, concrete walls, umeme, decent sewage, furnitures, steel roofing na wakazi wana maisha mazuri tu huwezi kusema wanaishi kwenye slums kama una akili timamu.