The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Naonea huruma sana hizi jirani expressway vs Projects kama zote. Sio fair kbs!Ushawatetemesha alafu unawapa relief [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daima hatuwasubiri jirani wazembe na wapumbavu kama hawa, watakoma kuwa karibu na nchi tajiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naonea huruma sana hizi jirani expressway vs Projects kama zote. Sio fair kbs!
Usitegemee kuwaona mida ya hivi karibuni nimeshangaa sana wanatamba kila siku Karen kumbe ni ushagoo tu.Wakenya Mamboo[emoji113][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2127532
Karen imevuliwa chupi humu, ina nyumba kumi zinageuzwa geuzwa ili kuongopea watu eti Karen iko sawa na Masaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usitegemee kuwaona mida ya hivi karibuni nimeshangaa sana wanatamba kila siku Karen kumbe ni ushagoo tu.
Hawa jamaa kichwani ni shida sanaIn the world [emoji3][emoji3][emoji3]
Walivyo na roho mbaya wanaweza kufa kwa blood pressureJirani usipate kiwewe!!!Ngoja tusubiri.
Hili ndio lile joka ulilokuwa unawaonyesha. 😅😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2127533
Ndio znakuja hizi anko tusije jiandaa kwa shangwe afu wakaleta low qualityWakenya Mamboo[emoji113][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2127532
Usitegemee low quality hata siku moja bablai, kadogosa ni mtu mbadi.. anachojua yeye ni kuwatesa jirani tu 😂😂😂Ndio znakuja hizi anko tusije jiandaa kwa shangwe afu wakaleta low quality
We ngoja mkuu nitawaua kwa masimango humu na bahati yao simu yangu imeribika ila soon nitakuwa hewani watakoma humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili ndio lile joka ulilokuwa unawaonyesha. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mm bado nipo na alhaji Nicxie ambaye alikuwa anaongelea kuhusu Karen ghafla kakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usitegemee low quality hata siku moja bablai, kadogosa ni mtu mbadi.. anachojua yeye ni kuwatesa jirani tu [emoji23][emoji23][emoji23]