Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pia ieleweke fika kwamba mji bambanyabambanya kama Dar hatia kufananisha na jiji lililosimama kama Nairobi
DHMxpXFVYAA6xCd.jpg

DHHq5soU0AARIDw.jpg

DHPthvkV0AA2n_8.jpg
Insta-image-38.jpg
 
Nvr again to try to compare Africa power house with this craziness......if u have nvr been in Nai ask n u will be directed by facts bt not this foolishness of screenshot of Twitter
You must be sick son,nairobi is nothing to be called Africa power house...yu should stop that shit ASAP. ...sio lazima upende our move but the fact is there utake usitake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa barabara pana namna hii Lazima iondoke
Hawato vunja tena. Walisha vunja toka kipindi cha Kikwete. Kumbukeni paa lakuingia kwambele ya millennium tower iliondolewa ikiwa pamoja na lile jengo la Green Acres kuvunjwa kidogo. Pia barabara hiko na open space upande wa mwenge kwenda juu kuliko wa millennium tower. Kwa hiyo itaenda zaidi kwenye majengo ya Tigo kuliko millennium tower. Hope mmenielewa.
 
Nmekusoma...lakini pale Victoria kumebana flani hivi..izo lane nane pale inaakaaje..labda unijuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nvr again to try to compare Africa power house with this craziness......if u have nvr been in Nai ask n u will be directed by facts bt not this foolishness of screenshot of Twitter
sisi wengine tumeanza ku-battle na wakenya since 2011.
miaka yote hakuna cha fact wala nini.

wewe umejiunga jf june 2017,unaleta blabla za fact.smh.
 
Nmekusoma...lakini pale Victoria kumebana flani hivi..izo lane nane pale inaakaaje..labda unijuze

Sent using Jamii Forums mobile app
Itavuta upande wa njia yakuelekea Mikocheni. Inabidi muelewe hiyo mistari itafutwa nakufaata upana wa Barabara. Hii picha itakupa ualisia. Hakuna mengi litalo vunjwa zaidi ya fensi mkuu. Everything was planned. Zaidi yahapo TANROADS itawalipa.
c1ab89ee9112bcc5183521948ed08843.jpg
l
 
Back
Top Bottom