Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida Kenya lazima iwakilishe East and Central Africa region. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ’ช

 
Hata upumbavu mnasifia aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inauma kama kawaida. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Nilidhani munataka kuanza kutengeneza covid vaccines.
 
Inauma kama kawaida. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilidhani munataka kuanza kutengeneza covid vaccines.
Kwahiyo imekuuma uliposikia tutakuwa tunawauzia dawa ya corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo imekuuma uliposikia tutakuwa tunawauzia dawa ya corona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haiweziiiiiii, kama kawaida we lead you follow. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 


Mbona Sumbawanga Bus Stand ni level kubwa sana kwa Nairobi Green Park Bus Terminal, iko beaten na Kigoma Bus Stand



VS



Kunyaland nzima haina Bus stand kama ya kigoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ