Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland haina interchange hata moja nje ya Nairobi na Mombasa! zile ni overpasses na tunazo zaidi ya mia nje ya Dar pitia electrical SGR Tanzania uone overpasses!
There is a reason why Kenya is more developed than Tz. Kupata interchanges kama hizi nje ya Dar ni balaa, na hata Dar enyewe iko tu na interchanges mbili pekee🤣🤣🤣

Nakuru



Kisumu

 
Kenya wanauza miraa inaleta pesa ,Tzn haturuhusu,Malawi na Rwanda wanauza bange zinaleta hela.

Hivi Tanzania hatuwezi fanya kama South Africa tupate pesa? 👇

 
MV Uhuru II. Tanzania will never have a shipyard like this and that`s why they have started to order tenders for the construction of ships from KDF.







 
There is a reason why Kenya is more developed than Tz. Kupata interchanges kama hizi nje ya Dar ni balaa, na hata Dar enyewe iko tu na interchanges mbili pekee🤣🤣🤣

Nakuru

View attachment 2117965

Kisumu

View attachment 2117967
Mnachoringia hakina tofauti na Kibamba interchange..SEMA wabongo hatupigagi picha...mwenyepicha nzuri aweke tafadhali

 
Hapa hebu niwape hongera nzito sana iliyokoleza heshima kabisa. Yaani hapa mumefanya kazi na nimekoshwa kuona maendeleo na mafanikio yanavyofanyika kwa speed ya juu hapa Afrika Mashariki. Ninafurahi kuwa mwana Afrika Mashariki. Region yetu inakuwa kwa kasi mno kwenye miundo mbinu. Yaani eti Sgr lot 2 ipo karibu kukamilika? Nimeshangaa sana. Ila najiuliza ni kwa nini Dar mpaka Moro haijakamilika? Tatizo liko wapi? Anayejua jibu anieleze.

 
Dar Dom barabara ilikua na changamoto nyingi...ikiwemo mito makorongo vua nyingi n.k..Moro Makutopora mtemezo tu
 
Dah! Wakenya bado mpo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…