Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado SGR

Utamu wa Tanzania ni maendeleo kwenye kila pembe ya nchi

Bandari ya Karema imeishinda maarifa Lamu white elephant kwenye idara zote

Lamu white elephant imejengwa at the middle of nowhere, haina barabara wala railway inayoiunganisha na kokote 🀣

Meanwhile Karema port ni bandari na barabara vinaenda simultaneously, DRC imeingia EAC nawashangaa Wakunya wanachoshangilia ni nini wakati mwali ni wetu huyu! πŸ˜…πŸ˜…

 
Bado isiolo tu......that dodoma thing ain't sticking.
 
but isn't this dodoma
 
Nadhani unaelewa maana ya neno native. Siitaji kukueleza hilo na nadhani unaelewa nani natives wa Tanzania. Anyway, native or not, 100k people shouldn't be holding 60% of your economy.
Maneno meeengi kama vile nyie ndo bora. .......kila kitu Kenya kinamilikiwa na wageni. .....two rivers.....SGR.....kq (used to) bandari (soon) eleveted expressway. ....magorofa marefu. ...88, Britam. .....mashamba makubwa...EAST AFRICAN BREWERIES......na hayo ni machache tu. .....supermarket. .kama carefore......Safaricom. .....

Bora sisi wahindi wetu ambao ni proudly Tanzanias. ...Mo dewji hana offshore accounts hela take yote ipo benki kuu. ...rostam vile vile. ...hata contracts zake za Brazil pesa inakuwa deposited hapa hapa Tanzania.

Haya nyie je? ? Masikini wakubwa. .....GDP 100bl. ...lakini hakuna hata mtu mmoja mwenye 1bil. Hivi hamuoni tatizo.

EVERTHING KENYANS ARE PROUD OF IS NOT OWNED BY KENYANS NA KAMA SI HIVYO LETENI PROOF. ANZENI NA HIZI NILIZOTAJA.
 
Hawa jamaa akili hawana. Wanatucheka sisi wakati wao kitu wanaown ni mikokoteni tu na yale mabanda kibera.
 
Sasa kama hii picha ni ya Dodoma ndio inabadilisha ukweli kwamba Dodoma Iko na maeneo mazuri pia.?

Inabadilisha ukweli kwamba Dodoma Ina international airport U/C .?

Inaba badilisha ukweli kwamba Dom is the construction site.?

Inabadilisha ukweli kwamba those beautiful houses and high rises nimepost hazipo Dom.?

We ni kichaa nini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…